Habari wanajamvi?
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la kujisifia kula 0713. Ukisoma thread nyingi sana zinazohusu mahusiano lazima utasikia tu nakulaga siku moja au vinginevyo...
Habari ndugu zangu,
Kwa uzoefu wangu nimegundua kuwa penzi lililoisha kwa amani aidha kwa kuachanishwa na mazingira au sababu nyingine yoyote huwa haliishi. Akitokea mmoja kugusia tu , ishu...
lala salama..
matatizo chuki lawama..
matatizo chuki lawama..
ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu
uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu...
Kiukweli nimechoka na upweke na upweke unaniumiza sana,nipo hapa kutafuta mke awe mwenza wangu wa maisha mimi ni mwanaume wa miaka 48-55 mwanamke mwenye nia thabiti na mwenye ukweli karibu sana
Juzi kati nilisafiri kutoka Dar kuja Tanga. Kando yangu kiti kingine, alikaa baba mtu mzima mtanashati. Kidogo akaja binti/mwanamama wa umri wa kijana---25-30's. Kufika Kibaha Mailimoja, mwanaume...
Binadamu watu wa ajabu sana, sijui kwanini wana
roho za ajabu, sio wakweli,na sijui wanapata faida
gani wakiwa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa
chupa... Kuna mdada ame-update picha yake humu
ndani...
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
Wanajamvi naomba kuwasilisha hili:
watu walio wengi hupenda kupewa ushauri na ndugu jamaa na mrafika na Kwa mtazamo wa haraka haraka unaweza kuishia kwenye ukomo huo wa fikra na kuamini juu ya...
Habari wanajamvi?
Wanaume wamekuwa wepesi sana kutoa wakiombwa na wanawake, kuna ambao hutoa pesa, magari nyumba nk, kwa kadiri ya uwezo wa mtoaji. Ila wanawake wao wako tofauti sana, ukimuomba...
Habari zenu wadau,
Nina jambo nahitaji ushauri tafadhali.
Nina mtoto wa miaka 5 lakini hatukubahatika kuoana na baba mtoto, tabia zilinishinda kila mtu akaenda njia yake. kwa kipindi ambacho...
habarini za kazi wakuu?
mimi ni kijana umri wangu miaka 26, nilikua nafanya kazi katika moja ya mahoteli makubwa hapa mjini na kwa sasa kiukweli hali ya uchumu imeyumba kiasi kwamba biashara...
Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda...
Kwa kawaida mama wakwe wanachukuliwa kuwa na utofauti mkubwa utakuta wengine wana upendo anaweza kukufanya kama motto wake na wengine wanakuwa kinyume kabisa wanaweza kusho sumu ya ndoa yako...
Wakuu,
Wakati wa ujana ulimuona akipenda weupe, mixture msambwanda mixture figa namba nane mara mguu wa bia mara mwanya mara chuchu konzi mara hips ooh mwendo wa twiga kiportable mara papuchi...
Habari zenu,
Nimejitokeza hapa kuomba ushauri wenu sababu naamini hapa kuna watu, wazima na wenye upeo zaidi yangu.
Mwaka 2012 nilimuoa binti mmoja kutoka Kigoma tukabahatika kupata mtoto wa...