Mke wa mtu alinibariki tunda akidai analipiza kisasi Kama mume wake alivyo "mcheat"

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,306
12,803
Wanaume wenzangu mpenzi/mke wako unapomkosea kili kosa/ omba radhi na ikiwezekana piga hata magoti haswa unapojua kuwa amegundua unavyo mcheat maana ni watu wa visasi Hawa.

Ipo hivi Kuna dada mmoja black beauty huko nyuma kafunga utadhani haendi chooni, NALIA NGWENA nilikua niliomba namba za simu nilipewa lakini alikua mgumu sana kwenye masuala ya kukutana kama nilivyorusha vesi zangu tongozo nilimuelezea hisia namna gani Ngwena nammezea mate lakini juhudi zangu ziligonga mwamba na hakuwahi kuniambia kuwa yeye ni mke wa mtu.

Holiday moja nilikua ninasort mambo yangu niliona meseji ikisema upo wapi kucheki vizuri ni ya Yule madam X, nilimjibu home na alisema nimuelekeze aje, mjuba sikua na hiyana mara gafla mtoto wa kike yupo ndani.

Nikatishe story twende kwenye point Sasa baada ya hapo ndipo aliniambia kuwa yeye ni mke wa mtu but amefanya hivyo ilikulipiza kisasi kutokana na mume wake huyo anaye mcheat hadharani, anafanya mambo anayotaka yeye kiufupi jamaa hamuheshimu kabisa.

NALIA NGWENA nilipata funzo hapo kumbe wanawake/wapenzi huwa ni watu wa visasi, na tunatakiwa wanaume tuombe msamaha /kukiri Kama kweli umebainika kuwa ulikua unatenda kosa.

Ukiomba msamaha itasaidia sana kuliko kujifanya mwanaume wa shoka/mjuaji na yeye ataamua kufanya maamuzi yake binafsi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo namjua ni mwantumu hajaolewa Wala Nini huwa anatumia gia Hiyo hiyo Kwa Kila atakaetembea nae. Sometimes husema mmewe mwanajeshi, mara ni mtumishi na Mambo mengine
 
Mkuu achana na mambo ya wake za watu, jikite kwenye nyuzi za simba na yanga
 
Wanaume wenzangu mpenzi/mke wako unapomkosea kili kosa/ omba radhi na ikiwezekana piga hata magoti haswa unapojua kuwa amegundua unavyo mcheat maana ni watu wa visasi Hawa...
Kugombana kupo kwenye ndowa na msamaha unaweza kukataliwa au kuitikiwa tu ila ulichofanya kwa mkewamtu na ukiwa unajuwa ngoja nawe utakuja ufanyiwe tu,unaweza sema you don't mind,ila unaweza lea watoto sio wakwako it's a big mistake you have ever done in your life. time
 
Kugombana kupo kwenye ndowa na msamaha unaweza kukataliwa au kuitikiwa tu ila ulichofanya kwa mkewamtu na ukiwa unajuwa ngoja nawe utakuja ufanyiwe tu,unaweza sema you don't mind,ila unaweza lea watoto sio wakwako it's a big mistake you have ever done in your life. time
Potelea mbali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom