Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana...
1 Reactions
3 Replies
542 Views
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi...
79 Reactions
398 Replies
23K Views
Habari wapendwa! Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali! Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa...
19 Reactions
51 Replies
2K Views
Kuna mtu nlimsikia anasema siku moja alikuwa na demu wake akasahau mafuta ya nazi. Alitumia mate mpaka yakakauka. Nikajiuliza why atumie mate au mafuta ya nazi? Mwanamke akikupenda akiwa na...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwaka 2012 Janet Jackson msanii wa muziki, mwigizaji, na dada wa mwisho katika familia maarufu ya "The Jacksons" alifunga ndoa na Wissam Al Mana, mfanyabiashara tajiri kutoka Qatar, aliyezaliwa...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu. Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo...
59 Reactions
405 Replies
17K Views
Nimemuacha Mume wangu kwaajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake! Hapa ofisini kuna kaka mmoja ni mwalimu mwenzangu. Wakati naajiriwa alinikaribisha vizuri sana kiasi kwamba alihangaika...
25 Reactions
121 Replies
5K Views
Happy Easter Monday MMU Family. Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow. Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, and a mother of four kids, miaka hiyo Nilikuwa...
41 Reactions
487 Replies
36K Views
Wakuu, Nilikuwa, na mahusiano na binti mmoja, kwa kipindi kirefu sana, nikaja nikamnunulia simu, kubwa, akatumia kwa mda sana, Alikuwa ana ka kwa bibi yake, siku moja akaenda kusalmiaa kwao...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Ni aina ya Mwanamke kwenye minyanduo yeye sauti yake inaibuka kuwa base na zito. Akiguna sijui ndio kuugulia unasikia kama amepandisha jini. Ila akiwa normal ana sauti laini, Wema sepetu...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka...
59 Reactions
357 Replies
81K Views
I will be short Iko hivi after mishe mishe week iliyopita , nimepoa zangu home na stress za maisha , doing life analysis , napigiwa whatsap yoh . nani ex ,what new? , mimi sina neno nipo na...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa sales and marketing na huwa inanipa wakati mgumu kumuelezea mwanamke(hawa ambao ni zero brain waliojaa mitaani but ni pisi kali) Kazi yangu inahusika na nini,na kwa nature ya kazi...
41 Reactions
150 Replies
8K Views
Mume wangu ananipa Laki 5 k Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na...
5 Reactions
181 Replies
9K Views
NrNe..... Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana.. Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi...
50 Reactions
205 Replies
6K Views
Mama watoto yuko nje ya nchi akinoa bongo yake. Nyumbani kwangu naishi na watoto wawili wadogo, wadogo wawili wa mke wangu, ambao Ni shemeji zangu na mama yangu mdogo ambaye yuko hapa mjini kwa...
33 Reactions
248 Replies
26K Views
Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?. Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya...
4 Reactions
9 Replies
886 Views
Najua hapa wanaojiita wataalamu wa statistics watanivaa kwa hili nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu leo nimeamua tuongee hapa.Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini...
8 Reactions
173 Replies
16K Views
Back
Top Bottom