• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Nafanyiwa sexual harassment na msichana wangu wa kazi

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
47,299
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
47,299 2,000
Mama watoto yuko nje ya nchi akinoa bongo yake.

Nyumbani kwangu naishi na watoto wawili wadogo, wadogo wawili wa mke wangu, ambao Ni shemeji zangu na mama yangu mdogo ambaye yuko hapa mjini kwa ajili ya matibabu na msichana wa kazi.

Huu mwezi niko likizo hivyo nimekuwa mtu wa kuwepo nyumbani kwani sina sehemu za kwenda kuzurura.

Watoto wangu wana chumba chao cha kuzea ambako huko tumejaza toys na mazagazaga yao. Kwa hiyo kipindi hiki Cha likizo nimewaacha wacheze mpaka waseme ewaaa. Sasa kimbembe kinachonitoa roho ni huyu binti wa kazi.

Ijumaa asubuhi alipiga ukelele mkali. Mama nakufaaa, nikakimbilia chumbani kwake kujua amekumbwa na Nini, akasema ameona mdudu ameingia uvunguni.

Nikaanza kusogeza kitanda na kumulika uvunguni ili nimuone mdudu, sikumuona. Nilipokuwa nainuka, nikamgonga kwa bahati mbaya kwani alikuwa amesimama nyuma yangu, kanga ikamdondoka, akabaki na chupi tu na maziwa yaliyosimama vizuri na figa bomba vikiwa wazi, Wala hakuhakaika kuokota kanga yake, akapeleka mikono yake usoni na kujifunika uso huku akijiachia wazi mbele yangu.

Nilipigwa na butwaaa akili ikaniruka kwa kama dakika moja. Ufahamu ukanirejea nikatoka chumbani haraka.

Jana shemeji zangu waliniomba watoke wakamtembelee ndugu yao mwingine, wakaomba waende na watoto, nikawaruhusu.

Nikakaa sebuleni na Sminorf yangu kubwa nikiishusha taratibu huku naangalia tv. Dada akawa busy sana jikoni, nasikia makabati yanafunguliwa na kufungwa, masufuria yanagongwa, yaani vurugu fulani hivi si za kawaida.

Nilipoingia jikoni akanirukia mwilini, ohhhh umenishitua Sana baba, sikutarajia kama ungeingia jikoni, kanga ikaanguka tena tena na hakuokota akaficha sura yake. Nikamwacha na kurudi zangu sebuleni.

Usiku nikaenda bar ya jirani kubadilishana mawazo na wadau. Nilipokuwa nimerudi nikachukua Sminorf yangu kabatini na kukaa sebuleni kuangalia CNN news.

Akaja na glass mkononi, akaniomba nimmiminie, hajawahi kuniomba kinywaji, kakaa hapa kwangu mwaka wa pili Sasa. Nikammiminia, Kisha akakaa kitako.Nikaona huu Sasa Ni wakati mwafaka wa kumsema juu ya tabia yake ya kudondosha kanga kila wakati.

Kabla sijaaanza hata kumsema, akawa kapiga glass nzima kwa funda moja, nikastaajabu. Akachukua chupa na kujaza glass, kisha akanywa yote Kama maji.

Akaanza kuniambia kuwa ananipenda Sana toka aje akiwa mtoto hata Sasa ana miaka 19 anaingia wa 20 hajawahi kulala na mwanaume ananipenda Sana na anaomba niitoe bikira yake kwani nimemlea vizuri huku nikiwajali ndugu zake hivyo Hana Cha kunilipa zaidi ya bikira yake.

Kadiri muda unavyokwenda ndivyo pombe ilivyokuwa ikimpanda kwa kasi, akanirukia mdomoni na kuanza kunibusu. Nikamtoa kwa nguvu na kumwambia aongeze pombe, nia yangu ikawa alewe azime, kesho asubuhi niongee naye akiwa sober.

Baada ya kunywa glass ya tatu, ulimi ukawa mzito, anaongea kwa shida, akalala kwenye kochi. Alipolala, zikapita dakika kumi, nikamkokota Hadi chumbani kwake, nikamlaza na kuondoka.

Kwakweli huu ni mtihani mgumu kwa mwanaume rijali yoyote. Hasa mke akiwa mbali.
 

Forum statistics

Threads 1,404,210
Members 531,529
Posts 34,447,406
Top