House girl wangu ananitega

Chelenje

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
554
195
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,265
1,250
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

unategwa au unajitegesha?
 
MkimbizwaMbio

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
870
0
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Akivaa kanga moja , jaribu kumgusa makalio. Ukiona kacheka we endelea. Akiwa Mkali mtimue kwani anaweza kuja kusema wife akirudi.
 
MadameX

JF-Expert Member
Dec 27, 2009
7,812
2,000
Mpe dose yake halafu umfukuze kazi, akirudi madam mwambie umeachisha kazi kwasababu ya tabia mbaya ya wanaume hapo mtaani pia alikutia majaribuni!
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?Uhuni tu huo unataka kuuanza,anakutega vipi kama na wewe humtamani?
 
Mwalimu

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
1,559
2,000
Wana JF,
nimekaa takribani mwezi wife kasafiri kikazi, naona house girl kila nikirudi home ananichangamkia, mara utakula nini leo...mara akae vibaya ...mara kavaa kanga moja...ila yuko bomba, naomba ushauri nimtimue?

Wewe umeshapanga kummega unatafuta support tu hapa!!
 
Kashaija

JF-Expert Member
Aug 7, 2008
255
0
Kwanini uruhusu mazingira ya kuwa wawili tu sebuleni? kwani hapo kwako hakuna watoto? kama wapo jitahidi kurudi mapema kabla hawajalala ili msosi upate na watoto nadhani atakosa muda wa kufanya upuuzi wake.

Vinginevyo kula vitu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom