Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapo zamani wasukuma wote walianzia futi 5 na inch 8 sio mwanamke sio mwanaume Tukija kwa ndugu zetu waha,kule kuna vibinti vina futi 4 na point,hata kuku wa kigomani wadogo wadogo na wepesi...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Hii tabia ya watoto wa kike kuvaa kanga moko na juu blauzi bila bra ndani imetuchosha huku uswahilini, Yani unakuta mtoto kajiachia njiani na kanga moko ndani ana chu**pi tu tena hizi za siku...
4 Reactions
41 Replies
13K Views
Safari ya mbinguni Ni ngumu sana. Nilikuwa na genye la kufa mtu, Hadi nikasahau kwamba nimeokoka. Nikampanga mrembo mmoja nikaingia naye ghetto baada ya mechi ile ltunafungua mlango nimsindikize...
18 Reactions
63 Replies
4K Views
Nimechoka kujipendekeza. Kila siku mie ndo nianze kusalimia watu au kuanzisha convo kwa watu ambao mie sio priority kwao tena. Wale watu ambao unatuma text inajibiwa baada ya wiki then wanaanza...
10 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind...
18 Reactions
157 Replies
5K Views
Kauchunguzi kasiko rasmi nilikofanya kwa kujadiliana na wadada kadhaa ama directly au indirectly, nimegundua kuwa wengi wanapofanya mapenzi hawafiki kileleni. Pamoja na sababu chache za kiafya...
1 Reactions
191 Replies
27K Views
Kawaida mwanaume aliyemtimilifu, ukimuuliza una wasichana wangapi, lazima atakutajia zaidi ya watatu hata mimi ni mmoja wapo, even wale waliopo katika ndoa lazima watakua na michepuko zaidi ya...
7 Reactions
66 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu...niende moja kwa moja kwenye mada,hapa juzi kati nilimsindikiza rafiki yangu kwa mtaalamu kuna mambo yake ya kibiashara alikuwa ameenda kuweka sawa kwa hawa mashehe wanao_omba...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wali ni chakula ninachokipenda kuliko vyakula vyote duniani, kwa bahati mbaya naelekea kukichukia kwa sababu ya huyu mke. Mwanzoni nilipomuoa alimleta msichana wa kazi kwa maana yeye anaenda...
10 Reactions
106 Replies
14K Views
Kuna tabia hii ya wadada ambao wanachepuka,utakuta uko nae faragha,anapigiwa na bwana wake simu,anaanza kumjib hovyo kwa ukali.. Namii sina hiyana nacheka na kuendelea kumshika kota lake kwa...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
1. Mwanamke anayekuganda nguoni 2. Mwanamke aliyepagawa kimapenzi 3. Mtumiaji 4. Mwanamke asieomba msamaha 5. Mlalamishi 6. Asiyejielewa 7. Anayetawala na kutotosheka 8.Mwenye maoni ya...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa.. Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza...
7 Reactions
34 Replies
885 Views
Nyuma ya mtoto aliye imara kuna mzazi aliyepambana kimyakimya. Naona wazazi ni watu wanaotakiwa kuheshimiwa sana. Si kwa sababu tu wanatulea, bali kwa sababu ya uzito wa jukumu walilobeba tangu...
22 Reactions
36 Replies
1K Views
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume. Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10...
28 Reactions
187 Replies
10K Views
Leo nimeamka chupa imejaa chai ! Baada ya kutafakari kwa kina wanaume kwanini tunatangulia kufa kabla ya wanawake nikagundua tunafanya ngono sana na kupunguza miaka yetu ya kuishi ,hebu fikiria...
37 Reactions
99 Replies
5K Views
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili...
40 Reactions
496 Replies
20K Views
Mwanaume ni gatekeeper wa ndoa. Wakati ukifika ndie atakaemua amuoe nani kwenye orodha ya machaguo yake. Hakuna ndoa bila maamuzi ya mwanaume. Mwanamke ni gatekeeper wa sex. Ndie anaemua afanye...
17 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukitazama kwenye mahusiano ya watu wengi utagundua kuwa wanawake hudhania kumtii mwanaume,kusikiliza maagizo yake na kuyafanyia utekelezaji bila kuhoji maswali yasiyo ya lazima,kuwa msikilizaji...
2 Reactions
7 Replies
779 Views
Hili swala mke wangu lazima atambue... Siku nikiwa naumwa sana hadi hali yangu ya kula Chakula ikabadilika kabisa nikawa nakula kidogo, maumivu kama yote, sijui natapika sina hamu ya kula...
9 Reactions
65 Replies
2K Views
Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au...
0 Reactions
2 Replies
408 Views
Back
Top Bottom