Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimetafakari sana kwa kina nikapata hitimisho la wanaume kuepuka michepuko kama ifuatavyo. Kwanza inaaminika kuwa wanaume wenye uwezo wa kifedha ndo huongoza kwa michepuko. Napendekeza ili uepuke...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi, As the heading above concern, I am looking for a beautiful lady who is aged not above 28 years old,Christian,chocolate colour,businesswoman or employed,female figure and tall/moderate...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Masista duu wana mambo kweli huku mjini;- Cheki classification zoa wananikumbusha biology ya O level; 1. Fundi Chuma_ Huyu kazi yake ni moja tu aani kupiga mzigo mpaka kiu kishe siku genye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wapendwa. Kuna hii issue nmeona *Danford Kitwana* ameshare nahali fulani japo ni kwa wanansdoa lakini nadhani hata wengine humu bachelors/singles linatuhusu.. In short madhara ya *ndoa za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Binafsi mimi na hata na ninyi mmekuwa mnalitamani hili saana, hakuna Raha kama rafiki na sio rafiki yako tu bali rafiki wa tokea utotoni mliocheza wote kombolela kuwa mwenza wako wa maisha...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Dah jamani nina mshikaji wangu huyo ana demu wake huyo tangu waanze uhusiano wana karibia miezi mitatu ila tangu waingie katika mahusiano mshikaji amekuwa akimuhudumia demu kwa akiwa na shida...
5 Reactions
62 Replies
8K Views
Vijana habari zenu, Tuelimishane kidogo, Wengi wa vijana mmekuwa mkihitaji familia, Mara nataka mume au mke ni jambo zuri sana lakini swali mmoja nataka tujiulize, hivi ni wangapi wetu tumekuwa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Watu wanaopenda kwasababu ya pesa basi hilo penzi litakufa siku pesa itakapopotea, lakini pia ukiona ndoa imedumu kwa miaka 30 bila kuvunjika au kuachana au kushindwana basi ujue mwanamke hana...
18 Reactions
91 Replies
10K Views
Another day tunakutana tena wakuu, Ila acha niende moja kwa moja kwenye mada vibamia imekuwa ni mada ambayo imepata airtime kubwa sana hapa JF hasa kipindi hiki cha miezi hii ya karibuni na...
4 Reactions
87 Replies
13K Views
Habari zenu kuna rafiki yangu kanisimulia kisa anaomba ushauri nikamwambia Acha nitakupostia jamii forum wakupe ushauri ingawa Sijui nitapatia uandishi yani kifupi iko hivi alipata mimba akiwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanaume yoyote ukiona umemaliza kufanya tendo la ndoa Mpenzi wako halafu ghafla anapatwa na usingizi mzito au anakuwa amelegea na hajiwezi au anaomba umpe maji anywe au anaomba umpepee basi jua...
9 Reactions
112 Replies
10K Views
Habari zenu wana jf nimekuwa mtu wa kukasilika mara kwa Mara kwa mambo madogo kichwa kuniuma kukosa kujiamini naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisiowafahamu Muda mwingine...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Hi I've just been divorced after almost three years of separation and now I'm searching for that special someone for building a relationship that may lead to getting married, I will be 50 yrs old...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF I hope Eid yenu imeenda poa, Mimi nina tatizo moja yaani siwezi kushauriwa kitu na mwanamke hata kama nimekosea nakuwa too harsh naona kama kanidharau. Yaani inshort mimi...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
habari wadau.. mimi ni mume na baba wa watoto wawili wa kike na kiume.. mojawapo ya ndoto wangu nilee wanangu waje kuwa among the best in athletics.. natamani nije kupata familia kama ya mzee...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu za baadhi ya thread humu MMU, nimekutana na huu ujumbe mzito kwenye moja ya comments tena kutoka kwa mwanamke. Huo ujumbe ni kama ifuatavyo:::- My take : Wanawake ifikie...
16 Reactions
126 Replies
9K Views
Historia inaonyesha kwamba wanaume hawazeeki Hata akifikia umri mkubwa bado thamani yake ni Kama makinikia baada ya kuondolewa dhahabu...Ndio maana hakunaga Mabibi na Mababu ni Mabibi na Mabwana...
15 Reactions
59 Replies
6K Views
Wajuzi naomba elimu yenu hapa; Huyu Girl Friend wangu tuko naye mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, ninampenda sana na naamini pia ananipenda sana. Tuko kwenye mahusiano mwaka nanusu sasa Tuna...
1 Reactions
160 Replies
10K Views
Hivi kati ya taarifa hizi ipi inaumiza? 1. Mkeo anakupa taarifa kwamba anaolewa na mwanaume mwingine ili muwe ni waume wawili kwa huyo mkeo 2. Mumeo anakueleza anaoa mke wingine ili muwe wakeze...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…