True love story where childhood friends become life partner.

leiguanan

JF-Expert Member
Jun 24, 2017
620
1,903
Binafsi mimi na hata na ninyi mmekuwa mnalitamani hili saana, hakuna Raha kama rafiki na sio rafiki yako tu bali rafiki wa tokea utotoni mliocheza wote kombolela kuwa mwenza wako wa maisha.

Lionel messi 30 na mwanadada Antonella Raccuzzo 29 siku ya leo wanaenda kutimiza tamanio la wengi kwa kufunga ndoa nyumbani kwao Argentina.
e46e192ca401f204008fd48fd4062d19.jpg

Walikutana utotoni messi akiwa na miaka 5 akiwa kwa rafiki yake ambaye ni binamu wa mpenzi wa messi wakicheza PS game. Siku ya kwanza tu kuonana kila mmoja alivutwa na hisia za mwenzake. Kufika sasa wana watoto wa 2 Thiago na Mateo. Hongera kwao. Kama unayo story kama ya messi unaweza kudrop watu wakajifunza.
 
siku hizi hakuna mapenzi.wanaume wanataka mwanamke mrembo,aliesoma ,alietoka familia tajiri kabila flani ,mwenye kazi. nk.wanawake nao wanataka pesa hata kama ni za ujambazi,ushirikina ,madawa ya kulevya hawajali. moyo umeachwa usukume damu tu hakuna jingine
 
Nanukuu
".. Siku ya kwanza tu kuonana kila mmoja alivutwa na hisia za mwenzake...."
Walikutana Messi akiwa na miaka 5 kwa mujibu wa maelezo yako.
Kwahiyo hizo hisia walikuwa nazo na hiyo miaka yao 5 na 4?
 
I'll agree at the same time disagree.

Kikubwa ni kuwa positive huku ukiflirt kwa makini saana kuchagua. Wanawake na wanaume wanaojali mapenzi bado wapo.
 
Nanukuu
".. Siku ya kwanza tu kuonana kila mmoja alivutwa na hisia za mwenzake...."
Walikutana Messi akiwa na miaka 5 kwa mujibu wa maelezo yako.
Kwahiyo hizo hisia walikuwa nazo na hiyo miaka yao 5 na 4?
Feelings sio lazima adixxxndishe au mengine ya hivyo.
Sijamaliza story maana ni ndefu.

Wakati wakiendelea kucheza mwanadada alikuja akawauliza kuna chochote mnachohitaji?

Hilo swali cousin wake hajawahi lisikia before akiwa na marafiki zake wengine. Unaweza kuunganisha dots hapo.
 
Tatizo mie nilikuwa navutiwa na ambaye amenizidi mnoo... Mie nikiwa na miaka nane yeye ako 25 hivi na hii ni sababu alikuwa keshajua kunyoa panki bhana...
 
Tatizo mie nilikuwa navutiwa na ambaye amenizidi mnoo... Mie nikiwa na miaka nane yeye ako 25 hivi na hii ni sababu alikuwa keshajua kunyoa panki bhana...
Huyo ni fataki sio rafiki wa utotoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom