Uke Wenza

Uke Wenza

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,665
Hivi kati ya taarifa hizi ipi inaumiza?
1. Mkeo anakupa taarifa kwamba anaolewa na mwanaume mwingine ili muwe ni waume wawili kwa huyo mkeo
2. Mumeo anakueleza anaoa mke wingine ili muwe wakeze wawili.

Ipi ni taarifa inaumiza?
 
Hiyo taarifa inamuuza nani hasahasa??
Labda kama unaongelea SHOGA,

manake ndo mwenye uwezo wa kuoa na kuolewa
 
Hivi kati ya taarifa hizi ipi inaumiza?
1. Mkeo anakupa taarifa kwamba anaolewa na mwanaume mwingine ili muwe ni waume wawili kwa huyo mkeo
2. Mumeo anakueleza anaoa mke wingine ili muwe wakeze wawili.

Ipi ni taarifa inaumiza?
Taarifa zote mbaya
 
Hakuna inayoumiza mana unajua kabisa unakula na nani kuliko hizi za kimya kimya
 
Back
Top Bottom