Dawa ya kuepuka michepuko hii hapa

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Nimetafakari sana kwa kina nikapata hitimisho la wanaume kuepuka michepuko kama ifuatavyo. Kwanza inaaminika kuwa wanaume wenye uwezo wa kifedha ndo huongoza kwa michepuko.

Napendekeza ili uepuke oa wanawake warembo sana idadi utakayo halafu waweke sehemu moja kwa kuwaelimisha upendo baina yao.

Hapo utakua unatembelea maeneo yako kwa kujimwaga vichuchu mtaani utakuwa unavidharau tu kwakuwa maumbo, rangi, taste zote zipo home.

Asanteni kwa kusoma maoni yangu nakaribisha ustarabu katika mjadala.
 
Uwezo wa kuoa wanawake wengi sina mkuu..

wengine wenye wake wengi bado nao wanachepuka tu
 
[HASHTAG]#joseverest[/HASHTAG] Wanao Chepuka Wengi Wana Uwezo Tumia Huo Uwezo Kufanya Nilioshauri Kuepuka Probleme
 
Back
Top Bottom