Masista duu wana mambo

Mnama

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
2,667
2,128
Masista duu wana mambo kweli huku mjini;-

Cheki classification zoa wananikumbusha biology ya O level;

1. Fundi Chuma_ Huyu kazi yake ni moja tu aani kupiga mzigo mpaka kiu kishe siku genye zimepanda.

2.Kinyonga Maridadi_wa kwenda nae kwenye Outings ,Birthdays , Harusi na sherehe zinginezo lazima awe handsome.

3. Bwege_Huyu ndio mtoa hela anagharamia kila kitu including hao hapo juu wanaishi kwa fund zake akisepa nao hapo juu huwa wanapotea zao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom