Wazazi tushauriane.. jinsi ya kulea watoto waje watingishe nchi au dunia

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,517
habari wadau..

mimi ni mume na baba wa watoto wawili wa kike na kiume..

mojawapo ya ndoto wangu nilee wanangu waje kuwa among the best in athletics..

natamani nije kupata familia kama ya mzee wanyama... baba yake na victor wanyama..

Wanyama comes from a sporting family. His brother McDonald Mariga is also a professional footballer,[45][46] while his other brothers Thomasand Sylvester Wanyama are also footballers in the Kenyan Premier League. His father, Noah Wanyama, was a footballer for A.F.C. Leopardsin the 1980s,[47] and his sister Mercy is a professional basketball player in the USA.[48]

Wanyama is managed by ExtraTime,[49] and has a boot sponsorship deal with Adidas.

In 2015, Wanyama participated in the production of a short film about soccer in Kenya calledMdudu Boy, written and directed by actress Ella Smith. [50]

ama nipate familia kama ya pamela mac gee..

watoto wawili tu wakiume javale mac gee kacheza NBA na wa kike imani mac gee nae kacheza WNBA..

bila kusahau mama nae alicheza WNBA enzi zake...

sina hamu ya mwanangu awe daktari, wala mhasibu, wala engineer wa kibongo bongo.. sababu najua ni umaskini tu ataishi kwa stress na kupitia same ordinary citizen life cycle kama baba yake na mama yake...

naona wivu sana navyoona kina beckham wanakuja tz na watoto wao kuenjoy mbugani yaani wanachoma pesa tu... huku baba yao sipajui haya hapo serengeti.. sina uwezo wa kuwabeba wote na kuwapeleka hata kenya tu kula raha one week...

kina wanyama, mamahdou sako nataka watoto wangu wafikie level hizo...

nilikuwa naangalia vacation za familia ya joseph yobo nigeria captain na mkewe former miss nigeria adaeze yobo bata wanazokula na watoto wao watatu hadi kuku anaona wivu kwa kweli....

bata za hela halali sio za wizi wala ufisadiii...

tupeane mbinu ya kulea watoto wafike hizi level
 
Aiseeeee!!! Wang hata stak
Aje kuwa mwalimu maana
N umaskin wakujitakia
Ualim na udaltar naulaan
Kabsa huuu
 
kuliamsha dude lazima..

kuna msemo unasema short cut to ivy league ni athletic skills...

yaani hapo havard, yale, princton, uc barkeley mtoto anasoma tena kiurahisi...

hasheem kasoma university of connecticut ipo top 100 world best university sabab ya b ball..
ila angekuwa bongo udsm hata top 1000 duniani haipo angekosa vigezo..

ndio nawaza hapa niamie downtown kama le mutuz ili watoto wakue wanacheza jk kikwete youth park kila siku jioni au nifanyeje

ishi nao kama rafiki zaidi kuliko kama baba au mzazi ili ujue namna ya kuliamsha dude mapema kutoka kwao.
 
juzi lavar ball alitisha sana..

baada ya jina la mwanae kutajwa na lakers alitoa bonge la tabasamu na kusema I know this will happen since 19 yrs agoooo...

yaani toka mwanae anazaliwa alijua tu atacheza NBA one day.

waandishi wa habari wakacheka sana..

kama adaeze yobo mke wa joseph anasema mwanae wa kwanza lazima acheze NBA au Top football league around the world... na ameanza kumuandaa kwa vyakula tangu utotoni

Lavar Ball
 
Tusiwalazimishe wawe kama sisi, eti kwa sababu wewe engineer na yeye awe engineer hapana

Mfanye rafiki yako,uwe nae karibu,uwajue na watu wanaokuwa nae karibu,mf: marafiki,walimu etc,ujue hisia zake na vitu apendavyo na umsupport kwenye kile akipendacho huku ukimsisitiza kuishika Elimu bila kumsahau Mungu

Pia ajue unapenda nini na hupendi nini, akikosea usisite kumkanya,na ajue kabisa hapa nimekosea,na nimemuudhi mama/baba

NB: The earlier the better, mwanangu ndio anatimiza miaka minne lakini,ameshaanza kujua mama anapenda nini na hapendi nini
 
dada upo sahihi ila atheltics inahitaji maandalizi kuanzia vyakula tangu utotoni..

unajua dunia nzima uje ushindane na watu sio kazi rahisi kama kuwa mhasibu wa manispaa ya ushenzini huku...

unamjua lavar ball dada????

muulize The Boss

ndio nataka maujanja ya malezi...

Kuna factors nyingi sana zinahusika. Usilazimishe wawe athletes wakati kumbe hawana hata hizo genes, na pengine mazingira waliyopo hayawaruhusu kuwa hivyo. Cha muhimu zaidi pia ni ndoto zao; wanaweza kuwa built for athletics ila wao ndoto zao ni kuingia bashite(bongo) movies. Snoop alim-push mwanae ili acheze NFL someday, dogo kafika karibu kutoboa na akajitoa...

"I played football for my father because I thought that was the only way he would love me & be apart of my life. It took me 12 years to realize he loves Cordell Broadus the person not Cordell Broadus the football player. The best day of my life was when I heard those exact words; I love you dad hope you have a great birthday."
 
nimekupata ndugu... nachojua watoto wakiwa wadogo wanapenda sana kucheza cheza.. sasa mimi nataka niitumie michezo yao kwa manufaa ukubwani.. ili hata elimu isipowatoa nikiona class sio wazuri ni focus na athletics..

bongo IST ndio shule ya uhakika kwa maandalizi zaidi ya hapo awe mwenyewe atoke kama samatta...

ndio nawaza nihamie downtown wakulie near by sehem za kucheza za kueleweka zenye walimu... kama Jk youth park..

sababu naona kabisa umaskini hautaisha kwenye ukoo wetu kwa kutegemea kazi za uhasibu wa crdb au halmashauri..

angalia wanyama family kwa mfano mpaka raha.. nba wana dada.. epl wana kaka.. italy wana kaka.. na kenya local league wana brother.. yaani dingi yuko proud sana

Kama nilivyosema mwanzo, hizo ni ndoto zako na zinaweza zisiwe zao. Zaidi ya ndoto kuna masuala kama vipaji, juhudi, bahati, n.k. Hivyo vitu vyote havilazimishwi wala kununuliwa. Cha muhimu jifunze vipaji na ndoto zao, na uwasapoti hata kama havina manufaa kwako.
 
dada upo sahihi ila atheltics inahitaji maandalizi kuanzia vyakula tangu utotoni..

unajua dunia nzima uje ushindane na watu sio kazi rahisi kama kuwa mhasibu wa manispaa ya ushenzini huku...

unamjua lavar ball dada????

muulize The Boss

ndio nataka maujanja ya malezi...
Upande Wa vyakula nakubaliana na wewe 100% huchangia akili na afya ya mtoto vizuri, najitahidi kumlea kikawaida,kama mavyakula ya makopo hajawai kuyala kabisa mf: mayai anakula ya kienyeji na hajawai kuacha kunywa Maziwa toka azaliwe (kutoka kwa MTU ninaye mwamini)

Nashukuru Mungu habagui,maharage atakula,iwe dagaa atakula,iwe matembele atakula,ugali Wa dona ndio usiseme
 
mm mtto wangu ni pure genius 10 years yupo form three nahisi atakuwa kma sio rais basi akiendambinguni atakuwa malaika
 
Back
Top Bottom