Siku Rafiki Yetu Alivyotatuliwa Malinda na Singa Singa Gaidi.

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,823
Huyu kijana alikua anaitwa Sal. nimefupisha kirefu cha jina lake, alikua miongoni mwa vijana wajuaji juaji iv, na by then ndio alikua katoka kwao uko Tanga sasa kaja mjini kajifanya mtaalam wa mapenzi, kila chocho unamkuta yupo anafukuzia vibinti, sasa huyu baadae tukaja kua marafiki tu hasa mpira ndio ulitukutanisha.

Muda ukapita,akazoeleka na ni mtu wa kujitusu sana, enzi izo wanaita "machepele", huku na huku akapata kabinti kamoja kana asili ya Asia, na hawa wahindi walikua wanaishi mtaa wetu huo huo mmoja tu, na familia ya kawaida tu, ila li baba lao ni kama lijangili, yale masinga singa ambayo ata ukiyasalimia hayaitikii.

Sal. akavuka mipaka akawa anaenda mpaka nyumbani kwao na yule binti wa singa singa, mabraza wa mtaa wakamwambia dogo acha ujinga, unaenda vp kwao na demu wewe, tena muhindi utaja uwawaa, Sal. kichwa ngumu, siku ya siku ilikua jumamosi moja tukiwa na Sal. hapo tupo kama watatu hivi, sasa tulikua tunaenda eneo jingine tukipitia njia ambayo nikaribu na kwao na yule binti wake wa ki asia, sasa tumefika pale Sal. akang'ang'aniza aingie mule kwao na yule demu wake af baada ya dk mbili atakuja tuendelee na safari ivyo akaomba tumsubiri, sasa ile ameingia tu ndani kama dk mbili mbele kaja baba ake na yule binti, lile singa singa gaidi, tukajua tayari kijana kaenda na maji.

Back in days simu tatizo izi ata tumstue rafiki etu kwamba kimbia umeisha mzee, wapi wote tukawa watazamaji tu, tunaiona nyumba ileee pale, what next, na Sal. yupo ndani humo, singa singa kavua viatu kaingia ndani kwake

Kilichotokea baada ya muda mfupi Sal. alitoka nje huku ana chechemea na uso umejaa alama za vibao, alikua analia sanaa, nyuma kwake michirizi ya damu inashuka tu, asee ile ilikua miongoni mwa picha mbaya kuwai kuona, ilikua wazi Sal. kalawitiwa na yule singa singa, alivyokuja pale nje anajing'ang'aniza kukimbia ila hawez ata kutembea tu tabu sanaa, mie na mwenzangu atukutaka ata kumuuliza kilichotokea ila tulijua what exactly happened, sasa tunamuona kabisa mwenzetu anajilazimisha tu kua mzima, anajikaza maskin aibu, sasa anavyotembea daaah na miguu hawezi kuiweka sawa, kaitanua na kiuno sijui anakiwekaje, na damu zinamtoka anajitia jasiri tu ila analia sanaa, kila saa anatusisitizia tu tumfichie siri, et siku moja lazma atalipa kisasi kwa uyo singa singa.

Baada ya siku mbili Sal. hakuwai kuonekana tena, alirudi kwao Tanga, na akutakata kurudi tena mtaani kwetu maisha yake yote.

Lengo hapa sio tu nimesemea hii story kama kufurahisha genge, hapana ni kwamba mambo haya jamani yapo kweli, ni hatari sanaa kwenda kwao na mchumba wako ilihali hautambuliki, na hasa hawa vijana wa kileo wanaojitia miconfidence et "demu atamuona yeye jasiri mwamba", hatari hio, kuna mengi ya hatari kuliko machache mazuri. Na sijui wenzetu hawa wenye asili ya ki asia hua wanajipa uthamani gani mkubwa kiasi icho na kujiona wao ndio bora tu na wanajifanyia mambo ya ajabu ajabu, hawana love ata kidogo.

Napita tu, ila ni hatari sanaa kwenda kwao na uyo msichana wako kihuni uhuni while hawakufahamu hao, utatatuliwa malinda mzee.
 
Kunguru muoga hukimbiza mbawa zake..

Huto dogo alijiona mjuaji haahaaa hapo ndo kakutana na wajuaji zaidi yake, sdhan kama atarudia ujinga huo
 
Ujana kwel shida nikikumbuka enzi naruka fensi usiku kisa tu...........................
 
Umalaya mzuri ila yakishakukuta mambo km hayo yani CV ya kiume huna tena chini ya jua hili wewe ni wakuamshiwa dude tu milele
 
Mbio za sakafuni kaja mjini hana mwezi anataka kujifanya kila kitu anajua
 
Huyo hakutanuliwa rinda kikawaida, utakuwa aliingiziwa vitu venue ncha Kali huko kunako.
 
Marafiki kama nyie sijawahi kwenda nao matembezini, huyo singa mlishindwa hata kuipopoa mawe nyumba yake? Mnaangalia tu rafiki yenu akichuluzika damu makalioni. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom