Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,035
- 168,655
Mbeya mwezi huu ni baridi kama uko kwenye freezer. Bar kuna heater na chini ya kila meza kuna jiko la mkaa watu wanakunywa huku wanaota motoHiyo tanga kweli?? Hamna kanzu wala mauremborembo usoni? Hao wanyakyusa na juisi.
Tena ilejeHiyo tanga kweli?? Hamna kanzu wala mauremborembo usoni? Hao wanyakyusa na juisi.
Ileje hamna Wanyakyusa kuna WandaliTena ileje
Hiyo tanga kweli?? Hamna kanzu wala mauremborembo usoni? Hao wanyakyusa na juisi.
Kitu cha mirinda baridiii
Tafadhali mkuu!Hiyo tanga kweli?? Hamna kanzu wala mauremborembo usoni? Hao wanyakyusa na juisi.
Thegame wewe ni Mmarekani kama Nyani NgabuTafadhali mkuu!
Hiyo Ni huko huko Tanga, wanyakyusa mnatuonea bure!!
Gharama yake Elfu ishirini tuKaharusi simple kabisa
Umeona ehhKitu cha mirinda baridiii