Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,408
- 1,334
Wakuu wasalaam
Kumekuwa na jitihada kubwa zinazofanywa na akinadada kujipendezesha miili yao. Wengine huenda mbali zaidi kwa kuboresha muonekano wa makalio kiasi cha kupindisha shingo za akinababa hasa wale wakware.
Swali langu ni: Je kuna tofauti yoyote kimuonekano na kiufanisi kati ya kalio la kutengeneza 'kubumba' ukilinganisha na lile halisi? na je unajuaje kama huyu mdada nilienae leo ana kalio halisi au la?
Karibuni