Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 383
Habari wapendwa. Naleta hii mada kwenu ili tuweze kuelimishana. katika kuzunguka zunguka kwangu nimegundua kuwa familia zenye furaha, amani na upendo ni zile ambazo mke na mume walianzia maisha ya chini kwa pamoja kila kitu wametafuta pamoja. Je hii ni kweli? Ahsanteni