Mheshimu asiye onekana (Mungu)

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,825
Yusufu alipotakiwa kuzini na mke wa Potifa, alijibu tu "nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu?" Mwanzo 39:9.

Hakuna utetezi dhaifu pale unapotongozwa kama kusema, namuogopa mume wangu, nawaogopa wazazi, hawa wote wana macho ya nyama, kuna pahali hawaon lakini Mungu wa mbinguni yu aona kila mahali.

Ikiwa utatumia utetezi huu, maana ake ni kuwa hauna nafasi tu, kwa sababu ya mbinyo na ufinyu wa nafasi, ikiwa hao watatoa mwanya utakuwa tayari kwa hilo.

KUMBUKA
Ukimuheshimu asiyeonekana, itakuwa rahisi kwako kumuheshimu anyeonekana, hii itakupa wingi wa thawabu katika ulimwengu huu na ule ujao.



Nting'irawanyuma
 
Back
Top Bottom