X wangu ameolewa lakini haipiti wiki lazima anitafute kwenye simu

1562013

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
851
799
Jamani hamjambo,

(napenda in mkulu voice).

Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa.

Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea simu zake?

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App
 
si umblock km unaijali ndoa yake! hv kwann huwa ma x mnaanzaga kuwasiliana ! ukweli mie huwa sielew! sasa kwann mliachana km mnapendana namna hyo nakila mtu kaoa!khaa! mie haitakaa itokee ex ni SCRAPER TU! hakuna namna!
screper km hana hela!!
Hukupata ex bali mpitaji
 
Jamani hamjambo,
(napenda in mkulu voice).
Aliyekuwa bibie wangu ambaye kwa sasa yuko ndani ya ndoa na mtu mwingine, anajitahidi sana kunitafuta ile hali anajua nimeshaoa nae ameshaolewa tena ndoa yake ni changa.

Naombeni ushauri je kuna madhara yoyote kupokea sim zake??

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App

wewe binafsi unajisikiaje, upokee ama la?

Ujue ukijaribu kuwaelewa wanawake, hutakaa uweze hadi unaingia kaburini. sasa tumia akili yako ya kuzaliwa
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom