Nikamshitaki Ex girlfriend wangu TCRA au polisi

Nikamshitaki Ex girlfriend wangu TCRA au polisi

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,112
Reaction score
4,663
Asante wadau,
kuna Demu wangu tumeachana tena kaniacha kwa nyodo sana na sonyo juu fyuuuuuuh,sasa baada ya siku kupita mm nikatulizwa na mtoto mwingine mwenye shape lake sasa uyu aliye niacha kutwa ana nipigia simu,

Mimi nikaamua Ku block namba sababu sitaki mawasiliano na yeye tena, sasa ananitumia meseji za matusi je nikusanye ushaidi nikamshitaki
 
Kyuma huwa haishindaniwi hata siku moja, unampotezea tu. Niliwahi kuwa na mwanamke mkorofi balaa, siku nilipokuja kuamua kuachana naye, nijiwekea tu msimamo kwamba akipiga simu sipokei, meseji sijibu, tafadhali nipigie sipigi, mwaka mzima akaja kukata tamaa. Hadi leo mara moja moja ananitumia meseji za heshima nzuri tu. Adabu mtindo mmoja
 
Kamshtak ajifunze adabu...

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hahahha kweli wewe nimekubali ni askari muoga! Achana nae atapiga kelele mwisho wa siku atanyamanza tu ,Matusi hayavunji mfupa kusema kwamba utakuwa kilema.

Task Force12
 
Back
Top Bottom