BEST ONE BOY
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 309
- 221
Habari za mda huu wana jukwaa pendwa la MMU,
Moja kwa moja ngoja niende kwenye mada kama inavyojieleza hapo juu kuwa
hawa mama wa kambo kwanini wengi wao wana roho mbaya sanaa kwa watoto wa baba ambao wanawakuta kuliko watoto wa kambo kwa baba wa kambo.
Yaani kwa kiwango kikubwa kati ya mama wa kambo 10 basi wawili unaweza kuta wanatabia nzuri waliobaki sio mchezo. Na baba wa kambo kati ya kumi basi wawili wanaweza kuwa na tabia isiyo njema.
Tupeane uzoefu kwanini hili