Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari zenu... Mimi mwenzenu wiki iliyopita katika mishe mishe za hapa na pale nilikutana na sister mmoja ivi... Katika story za hapa na pale tukabadilishana namba... Kisha kila mmoja...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Asubuhi ya leo nimejifunza kitu, inaweza isimguse kila mtu lakini yupo itakae mgusa kama ilivyonigusa mimi, Hapa naongelea watu wenye nia ya mahusiano ya kudumu na si "hit and run" Katika pita...
18 Reactions
57 Replies
6K Views
Naitwa Emanuel atilio toka iringa mjini nahitaji marafiki walio serious wanichek apa 0766512884/email : chogaemanuel@gmail.com asante nawasilisha
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Iam a 28 years old guy. Natafuta mchumba: *Dini yoyote. *Umri 20 na kuendelea. *Rangi yoyote. *Figure wastani. *Elimu - Form 4 angalau. *Awe anajua kuongea na kuandika kizungu japo kidogo. * Awe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii ni barua nliyoandikiwa leo asubuhi nimesitika sana kuona kweli dunia ya leo ina ubaguzi mkubwa kiasi hiki Tanzania yetu ya amani na upendo na huyu dada amegoma kuonesha upendo wake kwangu...
4 Reactions
127 Replies
13K Views
Wakuu weekend nilikua na promise na Msichana Mmoja mzuri hapa Mjini (Ninavyosema Mjini Simaanishi huko stendi mikoani Kwenu Nina maana ya Dar es Salaam). Yule binti katumia mgogo wake vizuri kwa...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Wanawake na Wanaume wana tabia ya kujisahau sana Aise... Wanawake wakiwa wanaiwinda ndoa wanajituma, viuno sana Feni chamtoto, akiolewa sasa... anarelaxx, anaona kamaliza, hajui competition iko...
11 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikisoma post za watu wengi humu Jf na wakati mwingine kuchangia,kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae...
0 Reactions
80 Replies
16K Views
Habari bests zangu jf... Mojamoja kwa moja nielekee kwenye mada.. Kuna mtoto fulani shombe shombe fulani ivi rangi ya Kiarabu,ni dhehebu la Islamic...nimetokea kumpenda sana......,,,MIMI NI ROMAN...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari za mchana, Kuna familia moja ni walimu walikuwa na mtoto wao wa kiume wa miaka minne alikuwa anasoma chekechea baada ya kuona kipato hakitoshi wakaamua kuanzisha kilimo na ufugaji. Kwa...
4 Reactions
100 Replies
16K Views
Salam wakuu, Je huyu mwanamke ananipenda kweli au ananidanya? Ni kama miezi miwili sahivi toka nikutane na huyu mdada na tukaanzisha mahusiano ila shida ni kwamba tuko mbali, mimi nipo mkoani...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hivi ina maana mliotajwa hapa mamumfeel huyu jamaa? kweli ubinadamu kazi sie ambao hatujatajwa tunaona unafiki wa waliotajwa Shosti kafungua thread...
0 Reactions
144 Replies
11K Views
Tuwapende wake zetu,wanawake wa tanzania kwa niaba ya wanaume wa tanzania nasema tunawapenda sana na tunaahidi kuwathamini kuanzia leo. I love you all by mwakilishi wa wanaume wa dar es salaam
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Nabofya kibodi yangu, salamu nazituma, Kwenu marafiki zangu, natumai mu wazima, Nawaombea kwa Mungu, mjaliwe yalo mema, Nilham usiyechoka, asubuhi na jioni, Nyumbani kuwajibika, halafu pia...
0 Reactions
214 Replies
15K Views
Habari zenu wapendwa, natumain mko pow hapa bado sijaelewa kila kukicha matangazo ya nguvu za kiume na kukuza uume ndo habari ya mjini yani kila kona,, hv hawajawahi kufikilia ukubwa wa kichwa cha...
0 Reactions
8 Replies
818 Views
Tumeshudia mwenzetu akiowa mwanamke wa makamo, mengi yamesemwa, ila ninauhakika huyu mwanaume mwenzetu lazima ana sababu maalum. Hata akifanana na huyu Kuna sifa lukuki za kuishi maisha ya ndoa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wadau wa hili jukwaa, natumai mu wazima, Moja kwa moja niende kwenye kisa; Kuna mjeshi amehamishwa kikazi kwenda mkoa wa mbali na huu ninaoishi, sasa huku alishajenga na ana mke na...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Wife amefuma simu yangu na kukuta SMS nilizokua nachat na mchepuko tukipanga kwenda kula mzigo na ahadi nyingi za uongo na kweli maana ndo ilikua mara ya kwanza basi Wife amechukua namba ya uyo...
1 Reactions
74 Replies
7K Views
Kwenu wanaume wote wa Dar, mikoani na dunia nzima. Swallama? Mwanaume huna haja ya kugombana na mwanamke kisa mapenzi, kumbuka: 1. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, hivyo usihangaike na mwanamke...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Habarini za jumapili nna rafiki yAngu km ndugu yangu ameolewa huu ni mwaka wa tano ana watoto 2 ameenda chuo mwaka jana maana na alikosa mkopo mumewe ndo msomeshaji mume ana wivu hatarii...
2 Reactions
255 Replies
26K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…