Simu zinachangia asilimia ngapi kuvunja mahusiano ya kimapenzi?

Simu zinachangia asilimia ngapi kuvunja mahusiano ya kimapenzi?

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,792
Reaction score
9,204
FB_IMG_1500757926630.jpeg

Kama mada inavyosema je simu inachangia asilimia ngap? kualibu mahusiano [emoji32] [emoji32] [emoji32]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twaweza katika ubora wake.

Kisha hapo, utaleta doc lenye 500 pages kuwa utafiti umeonesha kuwa 85% wamesema simu zinavunja mahusiano.

10% wamekataa kuwa simu hazina tatizo.

Ila 5% walikuwa hawana majibu /hawajui kama zinaharibu au haziharibu mahusiano.
 
80%
Ukitaka uishi salama na kwa amani kwenye mahusiano yako, ione simu ya mpenzi wako kama jeneza. Ishike pale tu inapobidi tena kwa ruhusa yake...
Kama unaitaka kwa ajili ya kuchezea gemu mwambie, safisha kwanza simu yako ili niweze kuitumia, Yani afute vimeo vyake kwanza... 😀
 
daaah..ndo ivo bana hatuna cha kfny[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nararua k simu haina clitoris siwezi kupoteza nayo mda
 
Back
Top Bottom