Kwanini couple za wazungu zinapendeza kuliko watanzania?

ramona

Senior Member
Apr 3, 2017
174
264
Hivi kwanini couple za wezetu wazungu zapendeza kuliko zetu. Wenzetu wakikaa mtu na boyfriend wake au mmewake wavutia wakipiga picha wapendeza. Sasa kwanini za kwetu hazipendezi?

Mmejiuliza sipati jibu kwanini? Au kwa vile wanaume wa Tanzania wafupi au kwasababu wanawake wa Tanzania mabonge au kwanini?
1203635_3e3ca5a1c57f5fc5d5040883b4767a09.jpg
19933272_440045403031053_6568832469808709632_n.jpg
 
Mie nadhan ungesema ,,kwann picha za couples za wazungu zinapendeza .............................. Hao wanayao wameyaficha balaaa usione ivo.....

Kwa habar ya moyo uliza USO.
 
Labda ni wewe na MTU wako ila cyo kweli kua couple zetu hazitokelezei kwa picha tena tunawazidi hao wazungu unaowaogopa!
 
Fikiria umekaa na mtu akilini mwako unawaza jinsi ya kuchomoa kama atakupiga kirungu cha hela ya kununua wig au kuendea salon unadhani patakuwa na pozi hapo?ni mengi yanayotukosesha styles sema hatusemi tu tunakufa na tie shingoni.

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
 
wengi michepuko imezidi unakuta wote wawili wana makoloni ziadi ya nchi tatu za Africa sasa unategemea afurahie na pia picha ionekane nzuri? anapiga picha kwa aibu aibu tuu ndo maana haipendezi nafsi zawasuta
 
Ndio,tumejawa na aibu za ajabu.
Mkuu sio aibu ,,,, ukweli upo pale pale ..Most ya couples Wahusika they are not free and open Kwa ufupu hakuna ile free mind hii nisababu mwanamme ana wasichana kama sita na mwanamke ana wanaume kama sita... Sasa shida inaanza pale unapojaribu kuwa please wote Kwa pamoja ..... Lazima uwe na maisha ya ujanja ujanja uongo mwingi ,na kamwe huwezi kua Comfortable na MTU mahali popote unapokua cuz you like haupo safe muda wowote utaumbuka ............kwamantiki iyo hutakaa uenjoy au kutabasamisha USO wako ..

Mzungu akiwa na mschana wake kweli anakua naye and yes they truly love each other at that moment ndio maana huwa wanajiachia san a maana hawana hofu na external force yoyote ,,

Mzungu mpaka achepuke ningumu sana ,,, Hawa watu wanajali sana afya zao kuliko kitu kingine alafu wapo civilized sana ,,hawapendi kuchafua CV kwa mambo km ya mahusiani .

Sasa we mbongo masikin lkn wanawake unao kila mtaaa ,,mwanamke naye wanamme kila mtaa ,,,Nilini wewe utafurahia maisha ???? Nilin utasimama mbele ya jamii namwenzako nakufanya mile ambacho kipo moyon mwako ????

Hahahaha brother ,,yangoswe tumuachie Kaisali ndo wanajuana hao.
 
Umemaliza kila kitu.
 
iv kwanini couple za wezetu wazungu zapendeza kuliko zetu. wezetu wakikaa mtu na boyfriend'ke au mme'ke wavutia wakipiga picha wapendeza. asa kwanini za kwetu hazipendezi? mejiuliza sipati jibu kwanini? au kwavile w'me wa tanzania wafupi au kwa'bu wanawake wa tanzania mabonge au kwanini?View attachment 548529 View attachment 548530

b4ec58a6f83237d10d37c8f5363a6ffa.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom