Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana . Sifa zake ziwe; Awe umri kati ya 19-23 Muislam Kabila lolote Awe brand new (BIKRA) awe na uzioto 48-56 Elimu...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi Tanzania hii kuna wanawake wameumbika vizuri na wana maumbile mazuri kuliko wanawake wa kanda ya ziwa? Kanda ya Ziwa tumebarikiwa kila kitu, kuanzia utajiri wa rasilimali hadi kwa wanawake...
4 Reactions
130 Replies
32K Views
Wakuu nimekuja na huu Uzi kwaajil ya kuwatambua vidume vya donati Yani watoto nalenale, hawawezi kazi ngumu kwahyo ningependa tuwataje na kuwapa maua Yao. Povu ruksa na najua huu Uzi unalife span...
1 Reactions
2 Replies
216 Views
Umeshawahi kukutana na kijana[jinsia yeyote] mtanashati, mwenye uwezo wa kifedha na Handsome lakini single ukajiuliza shida nini? Hii ni moja ya shida inayowakumba. Sio kazi rahisi kumvumilia mtu...
5 Reactions
9 Replies
746 Views
Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru. Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto...
2 Reactions
6 Replies
445 Views
Bila shaka mko poa Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi. Nimewahi kua na...
8 Reactions
101 Replies
7K Views
Hapo zamani ulikuwa unakuta Mzee ana wanawake zake wa ndoa wa wawili au watatu halafu ana mchepuko wake mmoja. Huo mchepuko unajulikana nyumbani mchepuko unamheshimu Mzee kama Mume mchepuko...
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Hivi huyu wife material mbona tunachelewa kumvisha shela? Mimi sitaki niseme sifa za huyu mwana dada nadhan mwazijua.
0 Reactions
94 Replies
14K Views
Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. [ Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Habari, Kwa anaefahamu namna au tiba ya kuzuia kuwaza tendo, maana nashindwa kufikiria mengine Kila mda ni tendo tu
1 Reactions
23 Replies
917 Views
Usimkabidhi mwanamke Moyo wako over
2 Reactions
0 Replies
331 Views
Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
34 Reactions
134 Replies
8K Views
Wakuu kwema, kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi. Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Angalizo Mhimu⚠️. Uzi huu si kwa kila mtu. Ni kwa vijana waliokomaa kiakili, walio tayari kupambana na nafsi zao, kushinda tamaa, na kutaka kuzijenga upya roho zao. Kama hujafikia hatua ya...
35 Reactions
105 Replies
6K Views
Wanajamvi nawasalimu. Ni hivi wife alinipiga ambush simu yangu, niliisahau home asubuhi. Kakuta meseji za sex chat kwenye simu yangu. Kiuhalisia sijawahi Kusex na huyo niliyekuwa nachat naye...
2 Reactions
56 Replies
11K Views
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki. Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao...
9 Reactions
111 Replies
10K Views
"Habari yako kaka George, Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments. Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Uzi wangu hauna lengo la kubeza uwezo wa wengine wa kufikiri au kutaka kujikweza. Siwezi sema niko smart sana ila angalau nina awareness ya mambo kadha kwa kadha, napenda...
14 Reactions
127 Replies
10K Views
MSAADA NA USHAURI PM IKO WAZI LAKINI USISITE KUSIKILIZA RADIO YETU YA MTANDAONI KWA KUBONYEZA HAPA Jesus News Radio Kuna wanawake wengi wanaotabasamu mbele za watu, lakini mioyo yao inavuja damu...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari za jioni mabibi na mabwana. Nimeona niilete hii kwenu pia nisikie mnasemaje. Mimi ni kijana wa kiume miaka 25. Kuna mdada nilitokea kumpenda sana kutokana na uzuri wake, tabia na ukarimu...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…