Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
Habari zenu wakubwa sana!
Ninae mdogo wangu wa kiume yupo kwenye uchumba kwa muda mrefu kidogo..
Huyu mdogo wangu sio wa familia yetu, bali kutokana na ukaribu wetu na ni rafiki wa mdogo wangu pia.
Sasa huyu dogo alianza urafiki wa kimapenz na huyu mchumba wake pale mama yake huyo demu alipumuhitaji huyu dogo kukaa kwake kwa ajili ya kusimamia biashara zake.
Mama yake dmu baadae alijua kila kitu kwamba dogo anakula mzigo, lakini kama bahati mama alum kubaki saana jamaa na akawataka wawe na malengo ya baadae....
Jamaa akakomaa na yule demu,. Lakini siku zote alikua akisemwa sana na washkaji, eti kakubali kukaa na demu mbaya kwasababu ya njaa... Lakini dogo hakujali...
Yule demu alikua anafanya Kazi huko kwa masister wa kimisionary, kwahiyo alikua na kipato kidogo ambacho kwa kushirikiana na mama yake walimpeleka jamaa shule..... Huyu mwanamke taaluma yake ni upishi, alisomea VETA.
Sasa, baadae huyu mwanamke alipata Kazi kwenye Hotel moja hivi hukoooo mkoani... Demu akamwambia, acha aende akapige Kazi huku wakijipanga kufanya mengine huko mbele...
Baada ya kama mwaka mmoja, mshikaji anadai amechoka kusafiri kwenda mikoani kuifata mbunye ya mchumba wake, kwahiyo alimtaka demu wake arudi wawe karibu...
Demu akamwambia jamaa, bado anampenda saana jamaa, ila hayupo tayari kuacha Kazi kwa sasa mpaka pale atapoona wamesimama vzr, na yupo kwenye michakato ya kutafuta Kazi itakayomrudisha mjini ila kama kweli jamaa ameshindwa, amemwambia jamaa amtafute demu (mchepuko) mmoja tu, ambaye anamuamini saaana amhudumie, ili iwe msaada kwake kipindi yupo mbali.. Na kamsisitizia saana, awe mmoja tu na sio zaidi ya hapo....
Dogo kanifata akaniambia yote, akaniambia hii imekaaje, demu wake kumshauri awe na demu.. Nimekosa la kumjibu kwakweli...
Sasa wadau hii imekaaje, ni upendo au mtego ambao labda na yeye anatafuta pa kutokea?