Habari zenu ndugu zanguni.
Leo nimeamka na nyinyi wanaume ili tuwekane sawa kidogo.
Sasa basi, unaamka asubuhi, you hope into your car and off to your air- con office where you sit all day. Its...
Wana JF habarini ya Jumapili kwanza,
Niende moja kwa moja kwenye mada..
Je mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke au kuingia kwenye ndoa inaweza kuathiri uchumi wako kuyumba?
Karibuni kwa...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo nimemtongoza dada huku mtaani, sasa baada yakuanza mahusiano, penzi lake kwangu likashuka sana, yani sitaki hata kuongea nae, kinachoniogopesha ni kwamba amesha waambia...
Za asubuhi wote wadau,
Mimi nashindwa kumuelewa huyu mzazi mwenzangu hadi nakaa najiuliza ivi ni wote au yeye tu, na kama sisi pia tulilelewa hivi kwanini tuwapende hawa mama zetu.
Huyu binti ni...
Habari za kutwa wadau wa mambo yetu yale,
Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea...
Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa...
Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo;
1. Umri usizidi 27
2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya...
Wakuu,
Mwezi m1 uliopita nilifanya maamuzi magumu ya ku abstain sex/kuacha kwa muda, niliamua haya kutokana na nilihisi ilikua too much sasa, hadi stamina ilikua inashuka, sasa ni mwezi umepita...
Habari wanaJF hususani wanajukwaa hili la MMU
Mara nyingi ninaposoma sehemu tofauti tofauti au makala tofauti tofauti kuhusu kujua ni vipi unaweza kumgundua mtu kama anakupenda nimekutana na hii...
Wakuu habarini za jioni,
Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu.
Kwa alietayari karibu...
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa mweupe mkristo
Mrefu. Nahitaji mke awe mwenye elimu yeyote ile asiwe pimbi portable mwenye uhitaji kama wangu ani PM au ani tumie SMS 0713984163
Sent using...
Ndugu zangu mwenye picha za wakali hawa naomba anitumie Nifah, miss chaga, lara 1,mamii90 ,faizafox na wengine ambao mnadhan wana sifa kama za hawa.
Nimekua nikiwafatilia sana hawa walembo ata...
Only you knows the depth of my desires,
Do u smile, do u wince, do u frown at them? I shall never know.
Only you knows the man of my dreams,
do I call out his name in my sleep? Is he dark, is...
Inabidi kwanza nicheke nikikumbuka kisa hiki. Siku moja basi wakati nasoma chuo cha kodi wakaja marafiki zangu kutoka Arusha kunitembelea. Tukaamua twende out ku party kama kawaida yetu mpaka...
Here I am again rubbing some men the wrong way. Shoot Me#
1. Kuacha vifua wazi na minywele kibao- halafu jitu linatumbukiza mkono na kujipapasa kila mara. Are you ventilating? Eti garden of love...
Hivi, wanaofanyaga Phone Sex wanafanyaga nini na kwa nini. Manake sipati picha utamu unapatikana wapi. Masuala ya pinch your ass, sijui feel me in sijui touch nanilii mie singeweza. I want the...
Haya, nitangulize kusema baadhi ya wanaume wakishaonja ka dirinki bwana wanakera. Wajirekebishe.
1. Bwana akishahisi tu nipo bwerere cha kwanza alikoholi bwana inashuka. Akienda toilet anaona...
Naleta mada hii kwenu kwa siku ya leo ili tukumbushane uwepo wetu hapa duniani. Kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu ukiangalia watu wanaokuzunguka. Mie nikimwangalia mtoto wangu namshukuru Mungu...