Bangi Nibangue :D

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,143
34,180
Inabidi kwanza nicheke nikikumbuka kisa hiki. Siku moja basi wakati nasoma chuo cha kodi wakaja marafiki zangu kutoka Arusha kunitembelea. Tukaamua twende out ku party kama kawaida yetu mpaka asubuhi. Sasa basi nikampigia simu mume wangu ambae kipindi hicho alikiwa bf yangu niombe ruhusa hakupokea. Nilifurahi sana manake jitu lenyewe kwa wivu huenda lingekataa.
Basi tukazururura weeee bar za Mikocheni mwisho tukaenda kula Rose Garden. Tulipokula tukaendelea kupombeka kisawasawa mie hapo sina wasiwasi wowote najipa raha. Tukaamua kuvuta kitu cha Arusha walichoniletea. Nilikuwa napenda sana ile kitu. Nikishakunywa niipate inakata maji yote naanza upya. Haya bwana, tukajibanza mahali kazi ikawa moja tu Puff Puff Pass. Natamani kupaa kwa furaha nikikumbuka. Anyway nikaamua kwenda kususu na kilichonifanya nikasusu parking sijui ni nini. Mara nimeinama nasusu nikasikia sauti ya mbuzi. Nikakatiza susuing. Lo! Nikaanza kumtafuta mbuzi parking. Mbuzi sikumuona nikaamua kumalizia susuing. Nishamaliza sijui ilikuwaje nikaangalia namba za gari ambalo nilikuwa nasusu mbele yake. GARI LA MUME WANGU. Nikapanda bajaji mimi huyo nikatimkia chuoni. Wenzangu niliwaaga kwa kuwatwangia waya. Mh! Bangi nomaaaaa. Ama sijui ni pombe?
 
Nimecheka mbavu sina. Wewe una kipaji. Unangoja nini kututungia kitabu cha hadithi? Bravo!
 
...Sasa basi nikampigia simu mume wangu ambae kipindi hicho alikiwa bf yangu niombe ruhusa hakupokea. Nilifurahi sana manake jitu lenyewe kwa wivu huenda lingekataa.

..... Tukaamua kuvuta kitu cha Arusha walichoniletea. Nilikuwa napenda sana ile kitu. Nikishakunywa niipate inakata maji yote naanza upya. Haya bwana, tukajibanza mahali kazi ikawa moja tu Puff Puff Pass ...

... Natamani kupaa kwa furaha nikikumbuka....

Mtoto wa kike ulikuwa unapiga kitu cha Arusha?! Vipi kwa sasa lakini umeacha? Hapo nilipobold unasema ulitamani kupaa kwa furaha ukikumbuka nini? Ulipokuwa unapiga kitu cha Arusha au ulipokuwa unasusu?
 
yeah nilikuwa napiga tena nilipenda sana ndo maana ss hv natamani kupaa nikikumbuka how it made me feel good.
Ss hv nimeacha, na pombe pia.
 
(_̅_̲̲̲̲̲̅̅̅̅̅̅_̅__̅_̅_̅()~~' puff puff pass
 
usirudie kuisingizia kaya ukichaa wako... mbona sisi hatufanyi mambo ya ajabu tukiwa high
 
Ukitaka kukumbushia saivi ni Pm,kwa vinapatikana vyote,cha arusha,tarime,mwakaleli,malawi e.t.c
 
Inabidi kwanza nicheke nikikumbuka kisa hiki. Siku moja basi wakati nasoma chuo cha kodi wakaja marafiki zangu kutoka Arusha kunitembelea. Tukaamua twende out ku party kama kawaida yetu mpaka asubuhi. Sasa basi nikampigia simu mume wangu ambae kipindi hicho alikiwa bf yangu niombe ruhusa hakupokea. Nilifurahi sana manake jitu lenyewe kwa wivu huenda lingekataa.
Basi tukazururura weeee bar za Mikocheni mwisho tukaenda kula Rose Garden. Tulipokula tukaendelea kupombeka kisawasawa mie hapo sina wasiwasi wowote najipa raha. Tukaamua kuvuta kitu cha Arusha walichoniletea. Nilikuwa napenda sana ile kitu. Nikishakunywa niipate inakata maji yote naanza upya. Haya bwana, tukajibanza mahali kazi ikawa moja tu Puff Puff Pass. Natamani kupaa kwa furaha nikikumbuka. Anyway nikaamua kwenda kususu na kilichonifanya nikasusu parking sijui ni nini. Mara nimeinama nasusu nikasikia sauti ya mbuzi. Nikakatiza susuing. Lo! Nikaanza kumtafuta mbuzi parking. Mbuzi sikumuona nikaamua kumalizia susuing. Nishamaliza sijui ilikuwaje nikaangalia namba za gari ambalo nilikuwa nasusu mbele yake. GARI LA MUME WANGU. Nikapanda bajaji mimi huyo nikatimkia chuoni. Wenzangu niliwaaga kwa kuwatwangia waya. Mh! Bangi nomaaaaa. Ama sijui ni pombe?

threads zako zoote hii ndo imenifanya nikuelewe haswaa
sasa naelewa uliposema unahitaji your psychological needs from him
 
Kwanini watu wanavuta kitu cha Arusha afu wanawehuka hivyo? mbona hiyo ina ustaarabu wake. Inakupeleka jinsi wewe unavyojipeleka.............A nuh mi fi like it...............gotta chill
 
We muongo, enzi hizo unazosimulia hakukuwa na bajaj

Natafuta mahali alipotaja mwaka wala sipaoni..... mkuu au chuo cha kodi kilifungwa kabla ya ujio wa bajaji?
usije ukasema na mimi nimepata kitu cha Arusha, mawani yangu haya wakati mwingine huchagua maneno ya kusoma...LOL
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom