Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Haya, nitangulize kusema baadhi ya wanaume wakishaonja ka dirinki bwana wanakera. Wajirekebishe.
1. Bwana akishahisi tu nipo bwerere cha kwanza alikoholi bwana inashuka. Akienda toilet anaona kero kufungua zipu so anaiacha. Ama sijui anataka na mwenzie 'a rifreshi maindi'?
2. Ee bwana huyu bwana fulani siku zote sio mcheza mziki ila ngoja zikipanda anagundua mziki ni hobby yake ya siku nyingi. Sasa basi asicheze taratibu anawakobea kina dada. Anawagandamiza viuno halafu ana wa 'poke' kama mjamaa ameshaamka. Utafkiri yupo aerobics class gym.
3. Kutafuna ovyooo. Valuer ama Nyagi bwana ishakwangua tumbo. Lipo empty sasa bwana kazi ni kulaa tuu halafu table manners kuleeee.
4. Topic zote zinakuwa deleted inabaki ya kukutanisha nanilii tuuuu. Hajali kakaa na nani mh! Utafkiri anayaweza. Idiot.
5. Kufungua vifungo vya shati. Hako ka slinglet sasa alikovaa? Hako ka kifua ka kuwaonyesha watu sasa? Mh!
6. Nilimuonaga mmoja amevua viatu. Ameviweka 'parking'. Na aliviacha hapohapo.
7. Kulala juu ya meza na kukoroma hasaaa. I swear kama ni mtu wangu mi natangulia home.
8. Kulia. Kinachokuliza? Uchuro tu.
9. Kutema mate ovyoovyo. Yuck!!
10. Ugomvi. Kageuka Mike Tyson ghafla.
.....