Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Habari wanaJF hususani wanajukwaa hili la MMU
Mara nyingi ninaposoma sehemu tofauti tofauti au makala tofauti tofauti kuhusu kujua ni vipi unaweza kumgundua mtu kama anakupenda nimekutana na hii kuwa dalili mojawapo hupenda kukuangalia.
Sasa najiuliza kuwa je ni kweli jinsia tofauti inapotokea anakuangalia ni kweli anakupenda au huwa na sababu zake ? Niliwahi kupata ujasiri kumuuliza dada mmoja kwann hupenda sana kuniangalia akanijibu huwa anapenda kuniangalia maana nimefanana na kaka yake.
Je dalili kuu za mtu anayekupenda ni zipi au ni hiyo ya kukuangalia