kycheneke
Member
- Nov 3, 2016
- 68
- 34
Mimi ni mwanafunzi wa chuo nimemtongoza dada huku mtaani, sasa baada yakuanza mahusiano, penzi lake kwangu likashuka sana, yani sitaki hata kuongea nae, kinachoniogopesha ni kwamba amesha waambia hadi kwao na mimi sina mpango nae wowote.
Sijui nimwambiaje nayeye ndio kafa kaoza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nimwambiaje nayeye ndio kafa kaoza!
Sent using Jamii Forums mobile app