Tuwe Tunakumbuka kumshukuru Mungu

Tuwe Tunakumbuka kumshukuru Mungu

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Naleta mada hii kwenu kwa siku ya leo ili tukumbushane uwepo wetu hapa duniani. Kuna kila sababu ya kumshukuru Mungu ukiangalia watu wanaokuzunguka. Mie nikimwangalia mtoto wangu namshukuru Mungu. Kwanza mijitu ilisema sizai, misenge hasa. Haya, ma mkwe akamfanyia sunna bila kunitaarifu na mtoto wangu sikujua atapona ila Mungu aliingilia kati. Humu JF kunanipa raha, napata ushauri nikiwa nimekwama, everything that surrounds me I attribute it to God.Na wewe ndugu yangu mshukuru Mungu. Una afya nzuri, kuna ambao wamelazwa. Umevaa nguo, kuna wanaovaa matambara. Etc etc. Count your blessings, and it will surprise you what the Lord has done!
 
Ameen!!!!!!!!
ila usingeandika hicho kwenye hii thread ya kumshukuru mungu.
 
Inatia hasira Evelyn Salt.
 
Nashukuru kwa ujumbe wako.

Inaonyesha ulisemwa sana kuhusu kutokuzaa kwako hivyo ilikupa hasira pamoja na majozi yasiyo na mipaka.
Ila kwakuwa MUNGU amekusaidia nawe umekuwa Mama sasa, huna budi kumshukuru, ila sijapenda ulivyoshindwa kuzizuia hasira zako mpaka ikakubidi kuandika neno kama hilo(hapo kwenye bold).

USHAURI WANGU KWAKO;
Jaribu kuwa mvumilivu katika yote na pia ukipata usimnyooshee kidole yeyote yule, nyoosha mikono yoko juu ukimrudishia MUNGU shukrani na utukufu.
Nadhani nimeeleweka.
 
Hahahaaa angalia isjie ikiwa ndiop ule wimbo alioimba bahati Bukuku wa sijui Tundo mtoto akageuka Chatu....hahahaaa natania jamani, Hongera sana sana na huyo mtoto mpeleke kwa viongozi wako wa Dini wambariki
 
Karucee asante kwa kutukumbusha.

But na weye usisahau kuwasamehe waliokukosea lolz.. Umeharibu hapo pa kuwatukana .. Uzi ukayumba ni mtazamo wangu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ameen!!!!!!!!
ila usingeandika hicho kwenye hii thread ya kumshukuru mungu.

Evelyn Salt nimeogopa nilipo soma hilo tusi,afu sikuamini kama nimesoma heading ipasavyo,maana hili neno ni kali sana. Lakina nilivyosoma thread yote nikapata muktadha mzima na mazingira ya muandishi yakanijia kichwani nikapata majibu..
 
ha ha ha haya bana pole sana!!!!!!!!
 
Count your blessing name them one by one,
Count your blessing see what Lord has done,

And you will be suprised to see what Lord has done.

1: nimeamka mzima
2: nina kibarua
3: nina sh 2 bank
4: nina watu wanaonipenda
5: nina uwezo wa kupata chakula
5: I have a roof over my head (hata kama ya kupanga)
7: I can see, walk, talk
8: naweza ingia ntandaoni
9: nina mjua Mungu
10: sijafungwa
11
101
1001
100001
Asante Mungu!
 
Aisee Karucee umeongea jambo la msingi sana ambalo wengi wetu tuna lisahau sana!

Ni vyema kumshukuru mungu kwa kila jambo pia tusisahau kuwa samehe wanao tukosea!

Pole sana inaonekana ulikwanza sana, mshkuru mungu kwa kila jambo. Pia hapo umeonesha una hasira sana ni vyema ukajizuia!

Kuna maneno umeyatumia kwenye ujumbe wako yame haribu maana ya heading!
 
.... Are you ever burdened with a load of care,
..does the cross seem heavy you are called to bear..
Count your many blessings Kaunga.
 
Aisee Karucee umeongea jambo la msingi sana ambalo wengi wetu tuna lisahau sana!

Ni vyema kumshukuru mungu kwa kila jambo pia tusisahau kuwa samehe wanao tukosea!

Pole sana inaonekana ulikwanza sana, mshkuru mungu kwa kila jambo. Pia hapo umeonesha una hasira sana ni vyema ukajizuia!

Kuna maneno umeyatumia kwenye ujumbe wako yame haribu maana ya heading!

nimekusoma Ruttashobolwa. Twasnt right to use insults in such a thread.
Pia I will learn to forgive. Somehow.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom