Wanaume ukitaka kurudisha stamina yako acha kufanya mapenzi kwa kipindi fulani

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wakuu,

Mwezi m1 uliopita nilifanya maamuzi magumu ya ku abstain sex/kuacha kwa muda, niliamua haya kutokana na nilihisi ilikua too much sasa, hadi stamina ilikua inashuka, sasa ni mwezi umepita ila sasa, nachoki experince sasa najuta yaani naweza baka yani nina moto wa ajabu.

Mashine is 24/7 hype, yaani nina shida kwakweli, mashine iko wima wima tuu muda wote, though naifurahia hii hali manake naona stamina imerudi sasa vilivyo, ila sasa nimetokea kudindisha hata nikiona nywele za mdada.

Mwisho, nawashauri wanaume wote wanaohitaji kurudisha stamina zao na kua kama simba, wafanye hivi nilivofanya mimi, manake ni shida sasa, godoro nalo halitamaniki, simpatii picha huyo anaekuja kufungua pambano kwa mara nyingne, i will eat her alive.
 
Duh...! Hii kweli Tanzania ya viwanda inayoenda sanjari na kauli mbiu ya Hapa kazi tu
Kazi na dawa.inamaana we unawaza kaz tuu mda wote,kaz zenyew mishahara ya mia mbili hii unajichosha tuuuu..life is too short bro
 
Back
Top Bottom