Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,756
Pale ulipokataa mimba au ukaikubali kwa mashaka halafu siku ilipofika mtarajiwa alipozaliwa ile umeenda hospita ukakuta copy na wewe yani haikua hata na haja ya mtu kuuliza,ulijisikia vipi?