MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
Habari za usiku wana JF.... nimekutana na tukio ambalo mpaka sasa bado lipo linazunguka kichwani mwangu,
Ni hivi jama anakataliwa na ndugu zake wa Damu kuwa yeye siye ndugu yao pamoja na kujieleza lakini imeshindikana na kutokea zogo kubwa lililonifanya niulize kulikoni ndipo nikaelezwa ya kuwa Kijana yule anayekataliwa na ndugu zake alipata binti wa Kimakonde (waliochanja uso) na kutaka kumuoa ndipo binti akamwambia yule kijana wa KICHAGA aende kwao na binti....bila hiyana Kijana wa kichaga akaenda mikoa ya kusini kwao na binti......
Wazazi pamoja na ndugu wa binti walimkatalia kijana wa kichaga kumuoa binti yao kwa kuwa MILA NA DESTURI ni tofauti na akapewa mfano ya kuwa wao wamechanja uso, je yeye yupo tajari kuchanja uso? Bila wasiwasi kijana wa Kichaga akakubali na akachanjwa na kuozeshwa Binti......
sasa kimbembe kijana wa Kichaga kaenda kwao Moshi watoto wakimuona wanamkimia na kulia huku jamaa zake wa damu wakimkataa........
Nimebaki kujiuliza maswali mengi yasijo na jibu................!!!!!!