Buntungwa
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 549
- 306
Wakuuu habari za leo?
Wa dar poleni na mvua za rasha rasha mweeeeeee,wakuu kunajambo najiuliza WANANDOA WANATAKIWA WAISHI VIPI??
*MKE AISHI VIPI NA MUMEWE
*MUME AISHI VIPI NA MKEWE
Kunajambo limetokea jana kuna baba mmoja anaishi na mkewe,baba huyo alisafiri,akarudi baada ya siku 2,mke akachukua begi la mumewe na kuangali ndani ya begi hilo akakuta HIRIZI na KITOVU mmmmh mke akashangaa sana
Ikabidi amuulize mumewake hiii irizi & kitovu cha mtt nivya nini?mume akajibu hivi HIVYO VILIKUTWA KWENYE BEGI LA BABA NIMETUNZA USHAHIDI,mke anajiuliza mme wake alienda kwao mwaka jana mwezi wa 9,kwa nini hivi vitu avione leo?mke akamshauri nenda ukavitupe unakaanavyo humu ndani vya nini'''uoni kwamba unaingia kwenye mikataba ya nguvu za giza,vitupe hivyo vitu, mume akaja juuu akasema nitavitoa humu ndani,mke akamwambia vitoe hivyo ni vitu vya kichawi,mume akaja juuu umeniita mimi mchawi,mke akamwambia hiyo IRIZI na KITOVU ndio vinatusababisha tushindwe kumuomba MUNGU na hisi sio vitu vizuri,mume akawa na
hasira akamshika mkewe kichwani na kumkandamiza kwenye mto kwa hasira sana,mke alilia kwa uchungu sana na kujiuliza haya ndio maisha ya ndoa?