Kidume kimesota mambo yamejipa pesa zipo Mungu kashusha neema na anahamia na mke kutoka chumba cha ghetto kwenda nyumba, mke kaona pesa zipo akaona wacha pesa imfanyie kazi anapata wazo la kupate...
By Charles Obbo
You all know the popular golden oldie, Me and Mrs Jones. You hear it on FM stations all the time.
Me and Mrs Jones is not the kind of song your bishop or sheikh would...
Ndugu wana JF nilikuwa na mchumba wangu tumedumu kwa zaidi ya miaka sita na tulibahatika kupata mtoto 1 mwenye umri wa miaka mitano, sasa huyu mwenzangu mwaka mmoja uliopita baada ya kumaliza...
Huwezi amini babu mmoja wa Rukwa afunga ndoa na mwanamke wa miaka 30 wakati babu mwenyewe ana miaka 85.
Je si huyu kaoa kitukuu chake?
Mmh maajabu ya dunia na huwezi amini ndoa huyo imefungishwa...
Ninavyotype hivi hapa tupo wanaume wawili na mrembo mmoja, tuko semina mkoa fulani kikazi so tumekubaliana wote tulale pamoja
Hapa akili inacheza huyu kiumbe lazima nimvue tu ntakuleteen mrejesho...
Wahenga wangu mimi ni kijana ni muajiriwa wa serikali ya Magufuli.
Nina mpenzi wangu nilidumu nae kwa miaka 2 tangu akiwa kidato cha tano mpaka sasa anaenda chuo kikuu.
Ila kwa hali ilivyo huko...
Miezi 9 iliyopita katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na binti mmoja mrembo muhudumu wa afya.
Nikaanza kuchombeza chombeza na hatimaye tukazama kwenye dimbwi zito la mapenzi.
Penzi...
Chombezo: Apple limepevuka.
Kalamu ya Ahmed Jiriwa.
EPSODE YA II
Baba mdogo alipopigiwa simu na kuambiwa habari hiyo, akamuita Jiriwa na kumuambia habari hiyo kutoka kwa wazazi wake na kumwambia...
Habari zenu wana ndugu
Narejea kwenye story yenyewe mida ya saa 9 mchana hivi nikiwa natoka kazini nimepanda gari public transport kutoka makumbusho mbezi nimeingia hakukuwa na pa kukaa...
Salaam wakuu.
Leo acha tukumbushane mambo mbali mbali ambae anaona yatamsaidia achukue, atakaeona hayatomsaidia ayaache.
Leo nataka nijikite kwenye suala la mahusiano ya kimapenzi, haijalishi uwe...
Kuna msichana fulani nilianzisha urafiki nae kupitia 'Social network' hatujawai onana, bali tunaonana mtandaoni through chatting.
Yeye yupo Dar mimi niko Bukoba. Alishaniambia mwezi wa 12 atakuja...
Habari ya mchana wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 30, sijaoa ila nina mtoto wa kiume, sikuwahi kuoa ila nilikua natest mitambo ikawaka na nikapata mtoto kiume. Tulishindana tabia baadae mpaka...
Wazee,leo mchana katka shugul za ujenz wa taifa,niliingia kona moja hapa jijin dsm,sasa misos ya pale ile haruf ilikua inatamanisha sana,nkaangalia menu paleeee,nkaona wana vitu tofauti,sasa mim...
*sio sifa ya mke*
Mke asifiwi bikra
Wala asifiwa sura
Makalio au chura
Ni ya kuvalia dera
Mengne ni dharura
Mwanamke ni tabia
*sio sifa ya mke*
Kupewa kila kitu
Lazima awe na utu
Sio kukaa km...
Hakika Leo ni siku ya furaha kwangu kwa kuokoka katika kikombe hiki.
Nimeenda kupima afya nimecheki karibu kila kipimo niko fit ila kilichonifurahisha zaidi kukuta HIV-ve make nikikumbuka visiki...
Ni kawaida kuwa kila mtu anapopewa uongozi wa mamahali popote afikie mahali awe na 'full control" ya eneo husika,wengine hupenda hili litokee haraka iwezekanavyo na hufikia mahali kutaka hata...
Habari wakuu!
Hii ni rai kwa vijana wenzangu wote ambao tunamchezo wa kujiridhidha ki mapenzi sisi wenyewe.,kiukweli punyeto ina madhara mno hasa kwa ustawi wa mahusiano.
Ushuhuda:
Jumapili ya...
Smart men understand that they must be prepared for life, love and women. These 40 nuggets of wisdom provide you with the necessary information you'll need to live and enjoy life to the fullest...