SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,020
- 1,057
Kuna msichana fulani nilianzisha urafiki nae kupitia 'Social network' hatujawai onana, bali tunaonana mtandaoni through chatting.
Yeye yupo Dar mimi niko Bukoba. Alishaniambia mwezi wa 12 atakuja kuniona wakati wa likizo maana ana ndugu zake Bukoba.
Sasa ishu inakuja pale ninapompigia simu tukiwa tunapiga story za hapa na pale lazima aingize mambo ya yeye mara yuko single hana mpenzi.
Kila nikimpigia simu lazima anambie kuwa yupo (single) nikimuuliza kwanini anasema wa kwake hajazaliwa.
Sasa wakuu hii imekaaje, maana sielewi kwanini ananiambia hivyo.