mkasa ulio nikuta ndani ya gari

mkasa ulio nikuta ndani ya gari

nikubhilikile uje

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
264
Reaction score
243
Habari zenu wana ndugu

Narejea kwenye story yenyewe mida ya saa 9 mchana hivi nikiwa natoka kazini nimepanda gari public transport kutoka makumbusho mbezi nimeingia hakukuwa na pa kukaa nikasimama nikashika bomba mkono mmoja na wingine umeshika simu kama kawaida yangu nikawa napitia kilichojili mitandaoni.

Ss basi akapanda dada mmoja ni black yuko vizuri alivyoingia kasogea moja kwa moja mpka karibu yangu nikamsalimu fresh kabisa sasa watu kwenye gari wakajaa safari ikaanza tulivyokuwa tukiendelea na safari huyo dada anasogeza makalio yake kwenye paja langu nikajuwa gari inavyopunguza mwendo ndio sababu nikaendelea na mambo yangu tulivyo endelea naona hali inazidi sasa ndio anasogeza matako yote kwenye dushe yangu nikachukuwa maamuzi ya kutokusogea nyuma ili nishudie mpaka mwisho.

Kama kawaida ya mwananaume lijari machine ikadinda kilichonisaidia mavazi niliyokuwa nimevaa jeans, boxer iliyonitait na shati nililokuwa nimechomekaa haikuwa rahisi kugundua kama dushe limesimama nilifikia sana kwanini huyu dada ananifanyia hivi nikaingiwa na tamaa za kutaka kuomba namba ili nikadhiilishe kabisa hicho anachokitaka kila nikitaka kuomba namba namkumbuka mchumba wangu moyo unanisuta kwanini nataka kumfanyia mchumba wangu hivi na tunapendana na soon tunafunga ndoa kiukwel nimeangaika sana kujizuia sana mpaka yule dada hakashukia maeneo ya rombo ndio nikapumua nimejitaidi kujizuia kwa kila njia kwa kumuwazia mchumba wangu kwanini nimfanyie hiki ninachotaka kukufanya.

Wanandugu ni kwanini wadada wanakuwa na tabia kama hizi tatizo ni nini haswa......? toa maoni yako
 
Huyo mchumba wako amshukuru Mungu abiria alishukia kituo cha karibu. Na wewe pia ungeabika sana kama sio kuvaa mavazi yako ya kubana. Sasa kilichokuzuia kusogea nyuma ni kitu gani mkuu? Ni kweli ulishindwa kwa sababu ya kumkumbuka mchumba au mazingira hayakuruhusu kuomba namba? Ungerudi nyuma ukaendelea kufuatilia yanayojiri kwenye mitandao hayo yote yasingetokea.
 
maoni yangu tujitahidi kuwaza na kuishi kingono ngono, maisha nizaidi ya ngono
 
Domo zege at work. Huyo mchumbako ulifunga kwa kufuli gani la uhakika hivyo kuwa na yeye ni mwaminifu kwako?? Ukute aliyekuja kukufanyia hayo alikuwa anataka ku revenge aliyofanyiwa na huyo mchumbakoi kwa bf wake. Chezea kupinduliwa weye
 
Nilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake

tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?
 
umenishangaza eti unakimbiza then... kitu kisionekane ukiwa umechomekea bila hata ya tumaimivu kwa mbali
 
Huyo mchumba wako amshukuru Mungu abiria alishukia kituo cha karibu. Na wewe pia ungeabika sana kama sio kuvaa mavazi yako ya kubana. Sasa kilichokuzuia kusogea nyuma ni kitu gani mkuu? Ni kweli ulishindwa kwa sababu ya kumkumbuka mchumba au mazingira hayakuruhusu kuomba namba? Ungerudi nyuma ukaendelea kufuatilia yanayojiri kwenye mitandao hayo yote yasingetokea.
Angegeuka tu mambo simpleee
 
Hongera kwa kuepuka magonjwa ambayo ungejutia maishani mwako. Hayo ni majaribio endelea kuwa mwaminifu uyashinde, ukioa utakutana nayo mengi hata kutoka kwa wanaokuona sasa hivi na hawakuonyeshi.
 
MAGATARA sio wanawake wote niwasaliti hapana mimi najivunia sana tena sana na namshukulu mungu sana kunipa mchumba mwaminifu kwangu niliomba sana nikwel nimepewa nashukulu sana. Pia hata yeye hasipo kuwa mwaminifu kwangu kwanini nilipize uwezi pewa cheti cha mapenzi hapa duniani kwa kutia wanawake wangi zaidi utajiumiza wewe mwenyewe tu
 
Nilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake

tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?
Mkaruka waona go!
 
[emoji11][emoji11][emoji11][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji119][emoji119]

My own brand!!
 
Akili za jioni izii.... Ungechukua number tuu sa ivi hali ngumu kwa iyo alikua anatafta boya wake Wa kumtumia vocha
 
Usipende kuvaa boxer inayokubana chief, utaua mashine na kiwanda kizima.
 
Nilikuwa na uwezo 100% kugonga yule dada kwani alichokuwa hakikifanya halikuwa hakinitazama usoni kwa kuibia furani ila lengo langu nilitaka kujuwa nini haswa lengo lake pia swala la kusogea nyuma nimelifanya kipindi cha mwanzoni ili kumwachia nafasi laki bado hali iliendelea ikabidi ni stop nione nini hitaji lake

tumapendana na mchumba wangu sana nimejiuliza kwanini nifanye hivyo nafaidika na nini haswa nikakosa jibu kilichofuata nikuqngalia move nzima nione hitaji lake kwangu ni mini?
Kugonga sio tatizo....tatizo ni dhamira/intention yake...unajuaje kama yuko kwenye mkakati kabambe wa kusambaza UKIMWI? Fikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom