Nimekubali..mihogo,kitunguu saumu,tangawizi na asali.moto wa kuotea mbali

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Wazee,leo mchana katka shugul za ujenz wa taifa,niliingia kona moja hapa jijin dsm,sasa misos ya pale ile haruf ilikua inatamanisha sana,nkaangalia menu paleeee,nkaona wana vitu tofauti,sasa mim nkasema ni mchana lakin ngoja niagize hiv vtu manake nilikua na njaa saana na asubuh skugonga kitu,nkaagiza mihogo ya kuchemsha miwil,chai ya tangawizi,mi hua natembea na asali yangu sabab situmii sukari kabsa,supu ya utumbo nzito na kichwa cha mbuz nusu,nkamwambia hvo viungo hivo mimina humu na pilipili kali,bas ukaletwa,..sasa jua kal nje kijasho kinatoka na nimejikomelea tai aisee ,ilibid nivue saa,..sasa nkashushia na maj ya 1500 barid,..SASA hilo balaa lake baada ya hapa,mashine imegoma kutulia..N.b nipo kwenye mwez wa kurudisha stamina..
 
Back
Top Bottom