Sio sifa za mke hizi

Sio sifa za mke hizi

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
540
*sio sifa ya mke*
Mke asifiwi bikra
Wala asifiwa sura
Makalio au chura
Ni ya kuvalia dera
Mengne ni dharura
Mwanamke ni tabia

*sio sifa ya mke*
Kupewa kila kitu
Lazima awe na utu
Sio kukaa km butu
Asiwe akili fyatu
kukunusa mpk viatu
Wala hatulii katu
Punguza mazoea

*sio sifa ya mke*
Domo kutoka matusi
Tamaa kama fisi
Kuwaza kukufilisi
Shtuka hyo n nuksi
Atadunda km kitenesi
Jifunze kuvumilia

*sio sifa ya mke*
Kukwepa majukum
Mwili wk kutouheshm
Kujidai mtaalam
Kusifiw wendawazim
Hk ana akili timam
Mumeo atachukia

*sio sifa ya mke*
Kumpekua mumewe
Kuishi kama mwewe
Kila kitu uletewe
Jifunze kujitegemea

*sio sifa ya mke*
Kutoa siri za ndani
Leo mmekula nini
Mnalalaje kitandani
Kusema km ana deni
Kugombn na majirani
Mambo utaychafua

*sio sifa ya mke*
Kunuka jasho Kali
Mme kumwek mbali
Kila mtu kumkubali
Kujidai sio halali
Sio kama nakejeli
Huo ndo ukweli
Km ni mke tambua

*sio sifa ya mke*
Kusifiwa kiburi
Kujaa ushari
Muda wte safari
Kutokutafakari
Tabia kutokua nzuri
Nyumban utazeekea

*sio sifa ya mke*
Kudumish michepuko
Kuishi kama popo
Kuvunja hata kiapo
Kutembea na jopo
Wala asiwe roporopo
mume atajichokea

*sio sifa ya mke*
Poleni nilowagusa
Nafsi zenu kuzitesa
Mwanaume si pesa
Ukitaka utazikosa
Ukimpata ni fursa
Basi atakutumia

*jifunze kuishi km mwanamke na sio kuishi km demu*
*jitunze*
*jiheshim*
*jipende*
*jithamini*
*jistiri*
.....✍

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio sifa ya mume kuhudumia mke wa mtu wakati wake anapauka...
 
Sio sifa ya mwanaume kuwa bahili na wengi kuja kulialia jf.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom