Ahsante Mungu nimepima sina UKIMWI

Ahsante Mungu nimepima sina UKIMWI

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,612
Hakika Leo ni siku ya furaha kwangu kwa kuokoka katika kikombe hiki.

Nimeenda kupima afya nimecheki karibu kila kipimo niko fit ila kilichonifurahisha zaidi kukuta HIV-ve make nikikumbuka visiki nilivyopitia hakika kuwa salama ni kwa rehema za mwenyezi Mungu.

Kuanzia Leo sifanyi ngono zembe nitakuwa mwaminifu mpaka kufa
 
oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hata huna haja yakurudi siku nlienda pima nlipokosa nlilia hatar na sikurudi tena

yaani yule dada alikuwa kwa room kunipa ushauri nlimshukuru utazan yeye ndio kaniepusha na ngwengwe hahahahahhaha

Yaani kama umeukosa kwenye vipimo vya mwanzo huwez kuta tena
 
Hakika Leo ni siku ya furaha kwangu kwa kuokoka katika kikombe hiki.

Nimeenda kupima afya nimecheki karibu kila kipimo Niko fit ila kilichonifurahisha zaidi kukuta HIV-ve make nkikumbuka visiki nilivyopitia hakika kuwa salama ni kwa rehema za mwenyezi mungu.

Kuanzia Leo sifanyi ngono zembe ntakuwa mwaminifu mpaka kufa
Wewe unasema tu.Shetani atakuja kwa mbinu kali kwako.....kikumbwa tumuombe Allah atuepushe ili tusishiriki zinaa....Kumbuka kuturejeshea mrejesho
 
Ndugu yangu mm hapa nina wenge balaa, jana nimegonga demu mmoja nilitumia ndomu ila mmhh ucku kucha nimelala na mawazo hadi jioni hii.
 
Mm hata ngono sijihusishi nazo tena, niliponea tundu la sindano Daah shinyanga!
 
Hakika Leo ni siku ya furaha kwangu kwa kuokoka katika kikombe hiki.

Nimeenda kupima afya nimecheki karibu kila kipimo Niko fit ila kilichonifurahisha zaidi kukuta HIV-ve make nkikumbuka visiki nilivyopitia hakika kuwa salama ni kwa rehema za mwenyezi mungu.

Kuanzia Leo sifanyi ngono zembe ntakuwa mwaminifu mpaka kufa

Ngono ni ngono tu, ngono zembe ndo zipi?
 
Hongera kwa kupima, mimi nimeshasema sipimi hata kwa limbwata..
 
Hongera mkuu. Ila nakushauri urudi kupima tena baada ya siku 90 ndio utapata hakika zaidi.
Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom