Aliniacha kwa mbwembwe na maneno kibao, sasa ananisihi nirudi tujenge familia

baiser

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,456
2,179
Ndugu wana JF nilikuwa na mchumba wangu tumedumu kwa zaidi ya miaka sita na tulibahatika kupata mtoto 1 mwenye umri wa miaka mitano, sasa huyu mwenzangu mwaka mmoja uliopita baada ya kumaliza degree yake katika chuo kimoja hapa bongo alihitaji ndoa ya haraka.

Mimi nikamwambia asubiri kidogo sababu sijajipanga na maisha, pesa nilizokuwa nazo nilikuwa namsaidia yeye sehemu ya ada na piá nimepata jukumu lingine la kumwinua mdogo wangu kimasomo hivyo anivumilie kidogo, basi alikubalia baada ya mwezi mmoja akaanza figisu pamoja na kunikatisha tamaa na kuamua kusema kila mtu aishi kivyake basi nilikubaliana na hali.

Sasa ni karibia mwaka ila sasa hivi ameanza kunisumbua na kunitaka nirudi tutunze mtoto na kujenga familia kwa pamoja. Je nirudi kwake tena? Na sasa hivi ninae mchumba mwingine ambae nilimweleza kila kitu na akakubali uhusiano nami na ananijali namjali. Jê nimwache huyu nirudu kule?

Kiukwel nipo njiapanda na pia yule ameniomba sana msamaha kuwa alipitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wana jf nilikuwa na mchumba angu tumedumu kwa zaid ya miaka sita na tulibahatika kupata mtoto 1 mwénye umri wa miaka mi 5 sasa huyu mwezangu mwaka 1 uliopita baada ya kumaliza degree yake katika chuo kimoja hapa bongo alihitaj ndoa ya haraka mm nikamwambia asubr kidogo sabab sijajipanga na maisha sabb pesa nilizokuwa nazo nilikuwa namsaidia yeye sehemu ya ada na piá nimepata jukumu lingine la kumwinua mdogo angu kimasomo hivyo anivumilie kidogo basi alikubal ilaa baada ya mwez mmoja akaanza figisu pamoja na kunikatisha tamaa na kuamua kusema kila mtu aishi kivyake basi nilikubaliana na hali
Sasa ni karibia mwaka sasa ilaa sahv ameanza kunisumbua na kunitaka nirud tutunze mtoto na kujenga familia kwa pamoja .je nirud kwake tena ?na sahv ninae mchumba mwingine ambae nilimweleza kila kitu na akakubal uhusiano nami na ananijal na mjal jê nimwache huy nirud kule?
Kiukwel nipo njiapanda na pia yule ameniomba sana msamaha kuwa alipitiwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na msmamo

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Nilimpenda sanaa kupitiliza ila alinivuruga sana pia mpaka nikaanzisha relation nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
So na huyu uliye naye unataka umwache na uumize moyo wake kwa 7bu ya mtu aliyekuvuruga na kukuacha!?
Akikuruga tena utamlilia nani mkuu..!?
Lakin mna mtoto..je huyu amekubali kumlea kama mtoto wake!? Atampa mapenzi halisi ya mama!?..Me sijui!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So na huyu uliye naye unataka umwache na uumize moyo wake kwa 7bu ya mtu aliyekuvuruga na kukuacha!?
Akikuruga tena utamlilia nani mkuu..!?
Lakin mna mtoto..je huyu amekubali kumlea kama mtoto wake!? Atampa mapenzi halisi ya mama!?..Me sijui!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Amekubal sabb nilimweleza kabla na pia nilimweleza jinsi nilikotoka na huyo mama mtoto na visa vyake vy ukwel bila kumsingizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom