(Nitangulize samahani kama nimeweka jukwaa lisilo sahihi,ningeweka kule bado watuu watasema tu..nimeweka hapa sababu nataka kuzungumza na marafiki )
Kuna kipindi Unatamani uzibe maskio kuhusu...
Baadhi ya makosa yanayofanywa na baadhi ya wanawake katika mahusiano na kufanyo yasidumu.....
Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia...
Kwa kwel kila kitu mazoea, yan kidume kila akivaa salama dude chaliiii!
Na na demu kakomaa kitu kavu haendi!
Usku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu zangu,
Naomba kupata ushauri,
Kwa matatizo niliyonayo. Mimi ni mtu mzima mwenye umri wa miaka 56, ni mtumishi wa serikali, nimeoa na watoto ninao, tatizo langu kubwa ni kuwa muda mwingi...
1. Amueni kupendana hata katika nyakati za changamoto. Upendo ni kushikamana na mwenzako, sio hisia tu.
2. Daima pokea simu ya mumeo/mkeo anapokupigia na ikiwezekana izime simu yako au ondoa...
Wadau,
Mimi mwanaume, natokea Kenya, Nairobi Lakini niko na encounter kadhaa za bongo ila mimi sio mswahili so Msijali lugha yangu sana.
Nawaheshimu watu wa TZ kwani wengi ni watu wa heshma...
Wakuu habari zenu?
Nina mke wangu wa ndoa kabisa, nampenda sana. Lakini tatizo ni moja linaloninyima raha, ni mfuatiliaji sana wa sports hususani mpira wa miguu (football) naweza kusema kanizidi...
Mchumba wangu amenizimia simu mara tu baada ya kutomjibu msg zake kwa wakati, Leo ni siku ya 8 sasa.Wakuu hii inaashiria nini? Na nifanye nini? (Tupo mikoa tofauti kikazi).
Sent using Jamii...
Habari za siku wadau wa MMU ..
Poleni na majukumu ya kimaisha ..
Ngoja niende direct kwenye mada
Mwezi wa tatu mwishoni mwaka huu
Nilileta mada isemayo kwamba
"Ushauri kwa huyu Ex-wangu"
KWA...
Mimi ni mwanamume mcha Mungu(mkristo), natafuta mwanamke wa kuoa , umri wangu ni miaka 30+, natafuta mtu ambae ana miaka ishirini na kuendelea, kwa mwanamke ambae upo serious ani pm, ila pia mimi...
Baada ya kuleta kisa changu cha kuwa na mpenzi ambaye baada ya kunisema vibaya kwa ndugu zake bado akarudi kuomba msamaha.
Nashukuru sana wana JF na Mungu aliyenipa ujasiri huu. Kwani mwenzangu...
Nina mwanamke ambae natarajia kumuoa cku za usoni.lkn Luna jambo ambalo linanitia shaka kwake!! Yaani Mara nyingi amekua akiniambia kuwa wanaume wengi wanamtaka na wengine wanataka kumuoa...
Jamani habari zenu,
Nina kitu kimenichanganya sana hapa, mimi naishi na mpangaji mwenzangu, ambaye ni mdada anaishi na boyfriend wake kwani hawajaoana, ila wanaishi wote na Mungu kawabariki wana...
Wakuu
Baada ya kila ninampata ni single maza basi nikaamua wikiend iliyoisha nitafute walau mtoto mbishi hapa mtaani ni mwanafunzi wa chuo.
Kama kawaida kaingia 18 zangu nikamuomba namba...
Ukuta mama yao alishasepa siku nyingi baba amelea mabinti mwenyewe sasa sasa wamekuwa vigoli ameamua kuoa. Unaingia ndani unakuta mabinti walikuwa na serikali yao leo unaingia wewe, hapa jamani...
Wadau hii ni story ya kweli ilinitokea nilipenda pia kuwa hadithia wenzangu huenda kuna jambo tunaweza kujifunza hapa.
Ilikuwa ni siku ya alhamisi nikiwa natoka katika mihangaiko yangu ya kila...
Husika na kichwa habari hapojuu.Nina mke na watoto natafuta mwanamke aliyetayari Kwa mapenzi tu aliyekua na stress kama Mimi ilitufarijiane sihitaji kuoa just mapenzi tu aliyekua tayari aje...
Jamani nyie masister duuu! Wa DAR fuen sindilia zenu kweny makwapa znatia kinyaaa!
Haiwezeka mpke wanja alafu sindilia na chupi zina madoa na harufu ya mbege!
Sent using Jamii Forums mobile app