Changamoto za kuolewa na mwanaume mwenye watoto

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,267
Ukuta mama yao alishasepa siku nyingi baba amelea mabinti mwenyewe sasa sasa wamekuwa vigoli ameamua kuoa. Unaingia ndani unakuta mabinti walikuwa na serikali yao leo unaingia wewe, hapa jamani inabidi uweke kichwa chini kusoma mazingira kwanza.
 
Bora bimdogo akute dingi ana watoto wa kiume hata kama wakubwa ila sio wa kike tayari vigori, kuna vigori wengi pasua kichwa wanasahau yule ni mama yao wanamchukulia poa

Psalm 133:1 "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Watoto wa kiume wako poa sana mabinti ni kama unaishi na wake wenzako
 
Ha ha ha nina rafiki yangu baba ake alioa mwanamke alie sawa nao wee alijuta.

Akiwauliza kwanini mnanifanyia wanamjibu rudi ulikotoka hamna mtoto mchanga wa kusema unamlea wote ni watu wazima tunajiweza...nilikua nikienda kwao nacheka sana jinsi wanavyomfanyia vituko yule dada maana ilikua drama muda wote

Yule dada mwishowe yalimshinda...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada nayeye alaikuwa hajayajua maisha, watu kama hao una show love tu
 
Ha ha ha nina rafiki yangu baba ake alioa mwanamke alie sawa nao wee alijuta.

Akiwauliza kwanini mnanifanyia wanamjibu rudi ulikotoka hamna mtoto mchanga wa kusema unamlea wote ni watu wazima tunajiweza...nilikua nikienda kwao nacheka sana jinsi wanavyomfanyia vituko yule dada maana ilikua drama muda wote

Yule dada mwishowe yalimshinda...

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanaume anatakiwa awe na msimamo, pia mwanamke asiwe msiri juu ya malezi
 
Back
Top Bottom