Nina tatizo la kuwazia wanawake tu

Nina tatizo la kuwazia wanawake tu

Negongo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
104
Reaction score
46
Ndugu zangu,

Naomba kupata ushauri,

Kwa matatizo niliyonayo. Mimi ni mtu mzima mwenye umri wa miaka 56, ni mtumishi wa serikali, nimeoa na watoto ninao, tatizo langu kubwa ni kuwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza kuhusu wanawake tu, yaani nina tamaa sana, kwa ufupi ninawatamani sana wanawake, nikimwona mwanamke mzuri mnene na hasa wenye makalio makubwa lazima nimfuatilie.

Hii hali inaniogopesha sana maana sasa nashindwa kuwaza vitu vingine vya maana nakuwa nawaza ngono tu. Pamoja na huo udhaifu lakini niko makini katika kutumia kondomu. Jamani nisaidieni nifanyeje niachane na kuwaza wanawake tu wenye makalio makubwa yanayotingishika?
 
Utakua na jini mshindo mkuu, ni maombezi mkuu hakuna namna,
 
Ndugu zangu naomba kupata ushauri kwa matatizo niliyo nayo. Mimi ni mtu mzima mwenye umri wa miaka 56,ni mtumishi wa serikali, nimeoa na watoto ninao, tatizo langu kubwa ni kuwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza kuhusu wanawake tu, yaani nina tamaa sana, kwa ufupi ninawatamani sana wanawake, nikimwona mwanamke mzuli mnene na hasa wenye matako makubwa lazima nimfuatilie. Hii hali inaniogopesha sana maana sasa nashindwa kuwaza vitu vingine vya maana nakuwa nawaza ngono tu. Pamoja na huo udhaifu lakini niko makini katika kutumia kondomu. Jamani nisaidieni nifanyeje niachane na kuwaza wanawake tu wenye matako makubwa yanayotingishika?
Pole sana Mkuu

Kwann uwazie sana wanawake kwani mkeo ana tatzo gani?

Matako makubwa yanavyotingishwa yanakufaidisha nn?

Nakukumbusha tu kuwa bado miama mi 4 ustaafu
 
Kuwa msomaji wa bibilia ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaaaaa jomba'z tumshauri wajameni, hana muda atastaafu mnajua, kama akistaafu na hii hali ya ndembendembe halimruki basi baada ya miaka miwili hola... Aisee baba naomba ukaombewe tena wk hivi maana kwa umri wako na hizo hemko hautabaki salama kwani hayo matranta ndio yanazidi kuongezeka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu

Kwann uwazie sana wanawake kwani mkeo ana tatzo gani?

Matako makubwa yanavyotingishwa yanakufaidisha nn?

Nakukumbusha tu kuwa bado miama mi 4 ustaafu
Na asipo jirekebisha mapema ka hela ka pension kote kataishia kwa wanawake wenye matako ya kutikisika
 
Ndugu zangu naomba kupata ushauri kwa matatizo niliyo nayo. Mimi ni mtu mzima mwenye umri wa miaka 56,ni mtumishi wa serikali, nimeoa na watoto ninao, tatizo langu kubwa ni kuwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza kuhusu wanawake tu, yaani nina tamaa sana, kwa ufupi ninawatamani sana wanawake, nikimwona mwanamke mzuli mnene na hasa wenye matako makubwa lazima nimfuatilie. Hii hali inaniogopesha sana maana sasa nashindwa kuwaza vitu vingine vya maana nakuwa nawaza ngono tu. Pamoja na huo udhaifu lakini niko makini katika kutumia kondomu. Jamani nisaidieni nifanyeje niachane na kuwaza wanawake tu wenye matako makubwa yanayotingishika?
hahahahahah nimecheka kwa nguvu hapo yanapotingishika teh teh, hamia china mkuu hawana hayo matako yanayotingishika au vaa miwani ya mbao

yaan na umri wako wote unashindwa kuzuia tamaa za mwili wako? nenda kaombewe kabisa huna namna ingine.

JF bhana

teh teh
 
Hahahaaaaaa lkn ckushangai coz kisayansi mwanaume akifka huo umri huo DAMU INAMCHEMKA ANAKUA KM NDO ANABALEHE VLE....anyway itaisha ukishafka umri flan but no dawa at all..kumbk kujikinga tu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom