Kubariki Ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubariki Ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [h=2]Kubariki Ndoa[/h]
  Je! 1. Kuna umuhimu wowote wa kubariki ndoa kwa watu, mke na mume, walioanza kuishi pamoja kabla ya kufunga ndoa? 2. Je! Tendo hili la kubariki ndoa ni halali/sawa Kibiblia?
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.ndio.....yaani kama wewe ni mume unamuoa mkeo na kama ni mke unaolewa na mumeo.
  2.mnaitenda dhambi siku zoooote hizi pamoja na usiku wa leo mnazini.sasa muende mkatubu,mtarudishwa kundini kisha ndoa itafuata...hapo anakuwa wako hata mungu anakutambua....kwa wakati huu shetani anakutambueni vizuri tu.
  3.unangoja nini mkuu,hamhitaji matayarisho wala vikao vya arusi .....nendeni sasa.
   
 3. salim kimosa

  salim kimosa JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2017
  Joined: Jul 5, 2016
  Messages: 350
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
   
 4. Galapagosi

  Galapagosi JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2017
  Joined: Apr 21, 2017
  Messages: 2,653
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaweza kutusaidia na vifungu vya Biblia
   
Loading...