Akili za michepuko wanazijua wenyewe

Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,128
12,216
Kuna siku niliingiwa na tamaa ya kuchepuka, ibilisi nae akawa anataka kuwa mdhamini wa mpambano, lakini nafsi yangu haikuwa na amani kabisa kimioyo kinadunda dunda hivi...kila napopiga hatua kuzidi kuzama ndani katika mjengo ambao ndio nilikuwa naenda kutenda dhulma dhidi ya waifu aah nafsi inakataa alafu nikimuangalia huyo manzi Vitu vimo na nilikuwa nahitaji kukumbushia show flani za kiumeni...basi nikafika hadi ndani maandalizi yakawa fresh ibilisi kisha nitawala sasa ile nataka kuliamsha lidubwana, Adhana ikalia, jirani kulikuwa na msikiti, akili ikarudi fasta, nikamwambia ebana tughairishe zoezi kwanza nikaswali ili nikirudi kazikazi sasa nilipojua michepuko akili zao hazijatune vizuri akasema poa ila unaporudi niletee na kitimoto nusu na ndizi...nikaguma mh..yaani huyu mi namwambia naenda kufanya ibada ye aniagiza hanziri...Sikurudi
 
Mshukuru mungu wako usikute uyo mchepuko alikua na miwaya mungu akaamua kukunusuru na ndo maana roho ilikua inakusita
Acha uzinzi
 
dhambi inaanzia kwenye dhamira ovu, kuwaza kwenda kuzini tayari ilikuwa dhambi. kuhairisha zoezi haikufanyi kuiepuka dhambi.

kinacho nifurahisha kwa nyie ndugu zangu dhambi ya kula/ama kuhusiana na kitimoto ndo mwaonaga dhambi kweli ila uzinifu,uongo,unaa,husna na chuki kwenu poa tu.

kuna mmoja anapenda mgegedo kweli ila sharti lake hataki nile white paper. mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom