Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

floow

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
411
852
Tufunguke wa ndg
Ni jina gani hutaki kuliskia ama kulitamani kwenye mahusiano.

Mimi nikiskia jina 'lucy" huwa nafedheeka sana sipend kabisa jina hilo, nilimpenda sana lakini hakupendeka....
.nikiliskia tuu ilo jina nakumbuka mbali sana,, haswa hua nakumbuka ushenzi wake tuu

Sitaki kabisa kuliskia jina ilo. Iwe fb, insta na kwengineko nikikutana na mtu anaetumia jina ilo namblock mapema linankumbusha mbali mno.

Tuambie na ww jina gani hulipend?
Jina gani ukiliskia unakumbuka mbal?
 
Pole sana.

Alikufanya nini huyo Lucy?
 
Back
Top Bottom