Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hawaridhiki kabisa,siku saba za week wanataka tu kufanya mapenzi. Acheni hizo,wengine tunakazi ya kufanya siyo muda wote tuwafikirie nyinyi.
14 Reactions
241 Replies
58K Views
IGWEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Msishangae mada zenye utratra kuzirudisha humu jamvini kwa kasi Kwaresma tumeimaliza salama, so tunajiachia na ya kaisari kidogo kabla Mfungo haujanza. Waume...
15 Reactions
199 Replies
16K Views
Huyu ni yule uliyeanza nae mambo yale ya kikubwa, je unamkumbuka kwa lipi? Dondosha............
2 Reactions
276 Replies
34K Views
Ndugu wana JF, KWA KWELI CHA MOTO NIMEKIONA MWAKA HUU. MADEMU NI WAKOROFI TENA NIMEGUNDUA MADEMU WA TZ NI WASHAMBA SANA HAKUNA MFANO. UJANJA WAO NI TZ TU, WAKITOKA NJE YA TZ NI WASHAMBA. WANA...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Kwa wale wakazi wa jiji tulivu la mwanza, kwa nguvu za mwenyezi mungu leo tumepata kinvua cha asubuhi ambayo kwangu kimekuwa shubiri kwa yaliyonikuta sababu ya baridi ambayo mpaka naandika uzi...
9 Reactions
59 Replies
7K Views
Wasalaam / : Bila shaka sijakosea jukwaa, Anahitajika mke wa baadae mwenye sifa zifuatazo. 1) Aje na akili yake tu, ( anaejielewa ) asibebe mkoba wala kitenge, kama akili yako haiko vyema...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Mimi nina kila aina ya sifa ambayo hakuna mwanamke anaipenda muhuni, mkorofi, mgomvi nisiejali na nyingine mbaya tuu nauliza hivi kuna mwanamke wa aina hiyo au asie wa aina hiyo angependa nimuoe...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Ndugu wana JamiiForums. Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka...
1 Reactions
83 Replies
12K Views
Habari zenu wana JF, Jana tu nilitoa uzi kuhusu kutaka kuhairisha ndoa kutokana na wanawake wawili, ambao wametokea kuonesha kunijali sana. Leo nimekutana na makubwa mpaka nimepigwa na butwaa...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Mke sherehe (Party wife) Wake wa aina hii wako mguu na njia kila siku na wanajuana na kila mtu. Wao kila siku wana sherehe, leo sendoff, kesho kichen party, keshokutwa bag party mtondogoo...
13 Reactions
130 Replies
11K Views
Leo kwa nimeshangazwa na rafiki yangu wa kike wa muda kidogo na tumekuwa tukionana kwa mara kwa mara mahali pangu pa kazi Jana kaja mahali pangu pa kazi na nikamfanyia kazi yake iliomleta ila...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakuu; kama hujabahatika kukutana na somo hili hebu tiririka hapa chini. Tofauti kati ya Mahusiano na Ndoa. Katika darasa la Saikolojia, mwanafunzi alimuuliza professor nini maana ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,hivi wanawake kuwa na mikono kama ya baunsa ni ugonjwa au nn?maana utafiti nilioufanya inaonyesha hawaziliwi na hali hiyo sijui hata inasabibishwa na nn tafadhali niambieni na...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanawake mwogopeni Mungu. Wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo, yamenikuta haya leo. Ikabid tuu twende marrrybrown, pizza hut na beach. Single mother kanisahau, yeye ni kucheza na mwanae tuu mi...
14 Reactions
141 Replies
11K Views
Wadau tupieni mawazo yenu thread hii hapa, Hivi kuna tofauti zipi kitabia na maadili kati ya mtoto aliyelelewa na baba pekee na aliyelelewa na mama pekee (raised by a single parent).
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika kukua kwangu sijawahi kutumia hii kitu mpaka nakua,leo ndo nimeona nijaribu kwakweli nimepata raha sana ambayo hata mwanamke yeyote hawezi kukupa na haina gharama kabisaa kwa shilingi 1000...
17 Reactions
169 Replies
24K Views
Habari wakuu, bila kuchelewa niende kwenye tatizo ninalopata. Nina mpenzi wangu, tuna mwaka na nusu kwenye uhusiano wetu. Tumekutana katika chuo kikubwa jiji la mtoto wa kolomije, wote tukiongeza...
3 Reactions
79 Replies
9K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Jamaa ameoa na ana watoto watatu, ndoa yake yaweza pata miaka 10 kwasasa, ila jamaa kiukweli sio mtulivu katika ndoa yake kabisa. Katika harakati zake za kupiga...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Huwa nasikia watu wanafanya mapenzi kwa njia ya simu, je umewahi kujaribu njia hii na ukafika on the peak...? Na wanawake pia huwa mnafika kule kwa njia ya simu tu kweli? Matayarisho yake...
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Habari za jioni jamani kuna tania moja kwa baadhi ya wanaume hii tania inashangaza na hata ukijaribu kutafuta maana yake hupati. Ni hivi unakuta mwanaume mmeshaachana kitambo tu kila mtu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…