Ni muda mrefu sasa nimeamua kukaa kwa mbali kuona picha linavyosonga mbele (mapenzi). Hii ilitokea baada ya mimi binafsi kuona nimechoka kukimbizwa utadhani niko JKT..
Alaah! Nimekuwa nawapenda...
Habarini wapendwa,
Hivi karibuni nimetoka katika mjadala mzito (mabishano) na mama wa jirani, mabishano yalianza kama mjadala wa sababu za ndoa nyingi kuvunjika, kilichonigusa zaidi, kipengele...
Habari yenu wana MMU wote,
Niende kwenye mada ya leo, kuna kitu nimekinotice kwa walio kwenye ndoa nilikaa na binti flani hivi ameolewa(sina mahusiano nae lakini) kuna kazi tulikua tukiimalizia...
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha.
Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa...
Habari za muda huu wana jamvi,
Leo nimekuja na mambo kadhaa kuhusiana na tofauti kati ya wanawake wa jiji la Dar na mikoa mingine japo hao waliopo Dar nao wanatoka mikoa tofauti ikiwemo mikoa...
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini;
1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)...
mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana...
Habarini za Jumamosi ndugu zangu,
Siku si nyingi nilileta uzi humu unaohusu siku 30 nje ya puli, niliendelea kutunza afya yangu vizuri lakini siku ya jana nilijaribu kuangalia tena kwa kiasi gani...
Habarini wana MMU
Mimi ni kijana wa miaka 27 nnaejiweza kumudu mahitaji yangu na hata ya famiilia ingawa mimi ni mleemavu nmebaatika kusoma na kupata kazi.
Nipo single hii ni kwasababu my...
Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama...
Habari wanajamii forum,Leo ningependa nizungumzie jambo moja kuhusu wanawake,wanaume wengi tumekuwa tupigwa kibuti na wanawake tunaowatongoza bila kujua sababu nni na wakati mwingine huwa...
Habari wakuu,
Kwa mazingira ya kawaida na uzoefu wangu huwa naona wanawake wenye uwezo wanaogopwa na wanaume.
Ni kwa nini vijana wanawaogopa au kuwanyanyapaa wanawake wenye pesa/wanaojiweza...
Habari wana Jamii forums natumaini mko poa sana.
Leo nipo tena hapa kupeana maarifa,ningependa kutoa udhoefu wangu,juu ya matatizo ya wanawake wenye wivu mkubwa,kwani ninavyojua "wivu"ni moja...
Wanaume wakiwa kazini kubomoa nyumba hii yenye ghorofa kwa kutumia nyundo. Ni kazi ngumu na ya hatari kwa kutumia vifaa vya karne ya 10 kama sikosei.
La kusikitisha kuna huyu baba na kaka hapa...
Habari waungwana,
Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi yaani amekuwa anajali...
Wakuu habari zenu,
Najua weekend yenu inaenda vyema kabisa na mapumziko murua baada ya kumaliza mchakamchaka wa kutafuta riziki kwa mda wa siku tano.
Wakati mkiwa mnapata mapumziko hayo siyo...
Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi
Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha...